@ganeshchoudharygh2:

Ganesh ChoudharyGhat
Ganesh ChoudharyGhat
Open In TikTok:
Region: IN
Friday 10 April 2020 11:36:03 GMT
42
14
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @ganeshchoudharygh2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Miaka ya 2008 - 2009 pale kulikuwa na “WAZUNGU” fulani walianzisha kitu kinaitwa PROFESSIONALS GATHERING pale Holiday Inn ya zamani (siku hizi Southern Sun).  Kila Jumatano baada ya “kazi” any professional aende aka mingle na wengine ku network na kujifunza mambo mbali mbali nk. Na kulikuwa na watoa mada kadha wa kadha. Surprisingly kulikuwa na refreshments pia and all paid for. Nakumbuka mimi na Anthony Luvanda (MC LUVANDA) we used to drive kwenda city centre for that. Na kiukweli tulijifunza mambo mengi mno ambayo yametufaa hadi leo. Ila ikawa tunakuwa wachache sana.  One day mmoja wa wale organizers akasema walifanya kitu kama hicho nchi za ASIA na watu si tu kwamba walikuwa wengi lakini pia hawakukubali kuingia bure bali walilipa fee ili kuonyesha kujali value. Lakini huku kwetu wale tuliokuwa tukiwaambia na kuwaalika mtu anasema INAISHA SAA NGAPI KWANI? Yaani hilo ni swali la mtu anayetafuta connections na MAARIFA dunia hii?😃🙌🏽  Mwingine anauliza KUNA KA BAHASHA LAKINI😃🙌🏽 Mwingine anasema HAO JAMAA WANAFAIDIKA NA NINI USIKUTE TUNAWAFAIDISHA SISI🙌🏽😃. Yaani mawazo ya kimaskini ni SELF-SABOTAGING always!  Kusema tu ONE DAY YES NA MIMI NTAKUWA TAJIRI MKUBWA SANA DUNIANI na hujui hata World Economic Forum ni nini na ina-operate vipi, ni kuruhusu maisha yako kuendeshwa kwa FANTANSIES tu. Kudhani kuwa ni rahisi tajiri namba moja KIDUNIA ukawa wewe kutoka Tanzania my friend hujui tu nani anacontrol CAPITAL iende wapi na hujajua kuna uhusiano gani kati ya GDP ya nchi na nguvu za kisiasa na kijeshi katika kuamua concentration ya CAPITAL iwe wapi na wapi na kwa nini. Unapokuwa maskini unaweza kudhani unahitaji USHAURI WA MAFANIKIO. Au MOTIVATIONAL SPEECHES ili utiwe moyo. Dawa ya ujinga siyo ushauri wala motivation, dawa ya ujinga ni ELIMU. MAARIFA. Umaskini haumalizwi kwa kushauriwa au kutiwa moyo. Motivation anahitaji mtu ambaye ana MAARIFA tayari. Kwa wewe unayeona katika stage ya maisha uliyopo unahitaji mtu serious wa kuku guide kupiga hatua karibu katika our coaching program utajifunza mengi. Tuma neno COACHING to WhatsApp +255 788 366 511. This is a paid program so come with that in mind. Semper Fi,🫡 Talk Business (Mr. Muhozya)

About