@wiseman_ally: # Zanzibar dhikri#

wisemanally online T
wisemanally online T
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 17 April 2021 05:20:55 GMT
178481
4254
199
3236

Music

Download

Comments

hurulain32
user037861 :
this is not Islamic.. subhana Allah
2021-04-18 11:54:31
25
damuna6
damuna❤️ :
kama unasoma comment kama mimi plz guys like zenu apa plz😳😳😳🥺🥺🥺😬😬😬😂😂😂😂
2021-04-21 03:59:22
31
mbattamusic
Mbattajr :
Ninesoma comment naona watu hawajui kwan kweny hyo video kuna maneno gan baya. kwan mtume alivyofika madina si alipigiwa dufu na hakukataza
2021-04-20 02:36:02
10
strugglingempathy
Strugglingempathy :
Watu wanapenda kubomoa tuu. Kwani kuna njia moja tuu ya kufanya dhikri? Fanya bila kuvunja maadili. Hapo mbona iko sawa tuu hawajamix na wanawake
2021-04-20 09:40:34
3
watriks
watriks :
Subhaana Llah Hii ni bidaa na ushaitwan si ktk mafundisho ya uislam Haijawahi kua na haitokua
2021-06-16 13:33:24
4
wapizamani
hujambo :
Huo ni ushoga pls don't shear
2021-04-17 23:58:15
0
aminaselemani3
Amina Selemani87 :
kwani hao wanao dhriki wanasemaje
2021-04-25 16:38:10
2
arjen006
rubeya :
tunaomba kama hizi...nyingine
2021-04-18 10:36:27
3
yusufyaqub917
YusufYaqub917@ :
upuzi tu hapo badala ya kumsikitikia na kumuombea dua maiti wao wanasherehekea hii ni dalili ya KIYAMA kukaribia wasiokuwa na elimu kufundisha watu
2021-06-18 06:51:35
1
wadepo7
wadep7 :
Zanzibar wapi iyo
2021-04-18 12:30:11
1
fatma_simai
fatma _simai :
mashaallah
2021-04-18 03:59:59
1
ismailngalemba
Ismail Ngalemba :
waislam wa mitandaoni wako weng kwel yani na wao kila kitu kwao ni haram ila mitandaoni wapo nashaa sana
2021-04-21 03:50:32
3
ramadhanimrutu
Ramadhani Mrutu :
hiiz ndofuraha zetu waisilam jaman mbona iko navibe kama lote natunamsifu mtumewetu meipenda sana
2021-04-24 14:05:28
1
khalifasasya1
khalifa sasya :
dhikr ni ktu tofauti sana na hii ktu!!
2021-05-31 23:53:37
1
unstoppable_gollyman
unstoppable_gollyman.. :
ina Lilah wainalilah lajuuniiii .....😏😏😏wamekosa kazi
2021-06-26 16:37:29
1
aldaan1
Aldaan :
اللهم صَل و سلم سيدنا و حبيبنا محمد و على آله و صحبه و سلم تسليما كثيرا
2021-04-27 02:41:18
1
arjen006
rubeya :
mashallah...mashallah..raha
2021-04-18 10:33:22
2
mamyabdull
mamyabdull :
Ewaaa dhikri imeanza tangia enzi zamtume namanabii iweje nidhambi wacha weee twende kwamtume salamaaa muhamadi salamaa 👏😘😘
2021-04-21 03:29:11
3
kadilohabshy1
Yusuf Asman Habshi :
wow wow Masha Allah nice dhikri
2021-04-22 01:11:52
1
oyaayy
Oya Ayo :
what is this?
2021-04-18 07:25:54
1
shiju480
ഷിജു :
afu utasikia Zanzibar kuna dini ndo dini hii😂😂😂😂😂
2021-04-21 08:40:42
1
balala790
khalid :
hapa naona watu wakisainiwa KONDE GANG 😂😂
2021-04-22 20:04:59
1
abuu.ammar_
Abuu :
Hakuna dhikri ya namna hii
2021-04-20 14:05:24
1
mohamedalhabib03
Mohamed Alhabib :
Haram and Bidaa
2021-04-18 19:45:30
0
To see more videos from user @wiseman_ally, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About