@gunaymli1:

Gunayçonok
Gunayçonok
Open In TikTok:
Region: AZ
Tuesday 13 July 2021 07:24:53 GMT
2684
229
17
0

Music

Download

Comments

sabis886
sabis886 :
Samoylova oxana ya oxsuyursuz
2021-07-13 08:43:41
2
samirrr717
samirrr717 :
😂😂😂😂
2021-07-13 08:04:06
1
iqoquliyev_21
iqoquliyev_21 :
tewekkurler😂😂😂
2021-07-13 08:04:25
1
iqoquliyev_21
iqoquliyev_21 :
draceti cox yukleme😂😂😂
2021-07-13 08:05:17
1
ruslannn666
Руслан :
JSPSHDLSHSKS
2021-07-13 08:07:27
1
aiselina16
Aysel :
😂 😂 😂 😂
2021-07-13 09:03:30
1
guest0987612
Guest :
Kesfet😂🥰
2021-07-13 09:46:15
1
shako574
shako🇬🇪🇦🇿 :
🤣🤣🤣😂😂
2021-07-13 17:52:02
1
ugur_eliyev111
ugur_eliyev :
😄😄😄😄
2021-07-19 10:41:53
1
roma7928686683459
userr :
dracet nedir
2021-07-13 10:02:45
0
herbalife_azerbaijan
Herbalife_Azerbaijan :
Herbalife məhsulları ilə sağlam şəkildə arzuladıqınız çəkiyə sahib ola bilərsiniz.Ətraflı məlumat üçün buyurun səhifəmizə🇦🇿❤👍💪
2021-07-15 13:53:00
0
To see more videos from user @gunaymli1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

SERIKALI YAPUNGUZA FAINI ZA MAKOSA YA PIKIPIKI NA BAJAJI ZANZIBAR ✍🏻 @rashidbattashy  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepunguza viwango vya faini kwa baadhi ya makosa ya usafiri wa pikipiki, bodaboda na bajaji, hatua iliyokuja kufuatia maoni, ushauri na malalamiko yaliyowasilishwa na wananchi na wadau wa sekta hiyo. Akizungumza kuhusu marekebisho hayo, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, @dr.khalidsalum , amesema miongoni mwa mabadiliko yaliyofanyika ni kupunguza faini ya kuendesha chombo bila usajili kutoka shilingi 699,000 hadi shilingi 100,000. Aidha, faini ya kuendesha chombo bila leseni ya njia (Road Licence) imepunguzwa kutoka shilingi 466,000 hadi 50,000, huku kuendesha chombo bila leseni ya udereva ikishuka kutoka shilingi 116,000 hadi shilingi 50,000. Katika makosa mengine, faini ya kutoa huduma bila leseni ya biashara imepunguzwa kutoka shilingi 100,000 hadi 50,000, kushindwa kuonesha leseni ya udereva au biashara baada ya saa 24 kutoka shilingi 116,000 hadi 25,000, pamoja na kuendesha chombo bila vioo kutoka shilingi 80,000 hadi 23,000. Vilevile, faini ya kutokuvaa kofia ngumu (Helmet) imepunguzwa kutoka shilingi 80,000 hadi 30,000, huku kuendesha chombo kwa mwendo mkubwa ikipunguzwa kutoka shilingi 233,000 hadi shilingi 50,000. Dkt. Khalid amesema marekebisho hayo yanalenga kuweka uwiano kati ya utekelezaji wa sheria na mazingira halisi ya sekta ya usafiri wa pikipiki na bajaji, huku akisisitiza kuwa kupunguzwa kwa faini hizo hakumaanishi Serikali imelegeza msimamo wake katika kusimamia usalama barabarani. Ameeleza kuwa viwango hivyo vipya vya faini vitaanza kutumika rasmi Desemba Mosi mwaka 2026 na vinawahusu madereva wa pikipiki, bodaboda na bajaji pekee, huku vyombo vingine vya moto vikiendelea kutozwa faini kwa mujibu wa viwango vilivyopo katika Sheria ya Usafiri Barabarani Na. 7 ya mwaka 2003.

About