@dullahmihuri: KWANINI TUNASOMA / HATUSOMI MAULIDI#tiktokomanmuscat #tiktokeastafrica #tiktokeastafrica🇺🇬🇷🇼🇧🇮🇰🇪🇹🇿 #tiktokkenya #tiktoktanzania🇹🇿

dullahmihuri
dullahmihuri
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 19 October 2021 05:00:34 GMT
76738
2147
330
457

Music

Download

Comments

homeofsnacks2
thrifts&deserts :
upende ukatae maulidi tutayapiga
2021-10-19 10:02:16
29
oldwine19
🇰🇪 :
hebu tupe hadithi maulidi hayafai🥰🥰na wakati mtume alipokelewa kwa maulidi mbona hakusema haifai????
2021-10-19 07:14:49
27
abdulfatahiirey
ireysaad :
ww shekhe mbona watukana watu makafiri
2021-10-19 10:24:37
12
superzesa
BaskutJnr :
dah wewe wanaosoma maulidi ni mashia mara masharifu tukuelewe vp?
2021-10-19 18:38:19
6
pangani33
user7275115394786 :
ndio maan saudia arabia bado wako na vita ...didhi ya Sunah na shia .....Allah atunusuru
2021-10-19 06:15:44
3
mya202020
user5865605443418 :
Mashehe kama hawa hatuwataki wanaogawa pepo wakati mwenyewe hajijui waitaje wenzio makafiri Hayo ni ya Allah
2021-10-19 20:52:34
2
myhubby1111
ummu Alya :
ww humo kapime akili kwanza waongea huna hata moja la manufaa matukano tuu😏😏😏
2021-10-19 14:33:37
2
saidimusa4
Saidi musa :
mashaallah sheikh Muhammad bin bacho rahimahullah
2021-10-19 16:41:57
3
shtubaby
galbyrouhy24 :
Subhanah Allah huyu wa wapi
2021-10-19 15:07:28
0
ukwelitena
TRUTH SET ALL FREE 💕 :
hata kama walisema wao ,yeye anahaja gani ya kumsemea hivyo walivyo mzulia wao? eti Saidna Ummar alikua ana ?! tafuteni Lugha za kuongea mbele ywatoto
2021-10-20 05:58:28
2
akhy.sayid
Akhy sayid :
huyu sheikh ni mpungufu wa akili
2025-08-16 19:14:36
0
rinaad_dinasty1
RINAAD_DYNASTY 1 :
swallu a'laa Nnabi.......hamuoni kila kukicha huzidi sisi na mtumi mtumi na sisi yallllaaaaaah🥰🥰🥰yasalaaaam
2021-10-19 18:02:23
5
user2741495465462
user2741495465462abdoul Shakou :
We muongo acha fitna
2021-10-21 00:32:33
0
ahmadbadaw007
Ahmad Badawy :
Tutapiga matwari na maulid tutasoma hatuskizi first 11 sisi 🤣🤣🤣
2023-09-27 17:01:01
1
cutenaimoh
user6001731287183 :
WEWE huna maaan kabisa
2021-10-19 14:17:30
1
ukwelitena
TRUTH SET ALL FREE 💕 :
INNA LLAH WA MALAIKATAHU YUSWALLUNA ALA NNABY, YAA AYYUHA LLADHINA AAMANU SWALLY ALEYHI WASALLAIMU TASLIMA🥰 Alhamdulillah mie nimeamini 🥰
2021-10-19 15:55:04
2
kipa4579
Kipa :
Jamanini masheikh kaeni chini muje na hoja moja ili kwa watu kama mm na wengine ambao hawana ilimu tuweze kuwa na ufahamu bora..
2021-10-19 20:49:50
3
user1994159609255
yasin :
huyu kweli chizi hajielewi
2023-09-28 16:39:14
1
salehalattas395
saleh sharif attas :
shenzi wewe unawakataa masharif Sala Yako haikamiliki bila kutaja ahlbait rasul wewe mtume kaacha vizito viwili Tena angalia sana mdomo wako na mashaf
2021-10-24 16:33:16
0
fadhilimsuri
Fadhili Msuri :
Sheikhe punguza jazba...leta dalili wacha habari
2021-10-19 12:14:52
1
jailaniramadhani8
abdulrazack Muuza Abaya kali :
kasuku la kizanzbar ( tarumbeta la kiwahab) hakuna ujualo wew tarumbeta
2025-02-16 10:14:56
0
allymuhammedwww.444gmail
Abuu Ahmad :
huyu hajui ata anachoongea anasema mtume kapokelewa kwa maulidi ww unajua maulidi yameanza lini
2021-10-20 01:36:34
0
bathawab4
Airman14 pro :
huyu sheikh hana elimu yoyote mm sijakubaliana na yy kabisa kielimu aliokuanayo 😡
2021-10-19 21:08:55
1
To see more videos from user @dullahmihuri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About