@drboazmkumbomd: Reply to @mamaleila2 ##ugandatiktok #tiktotanzania #kenyatiktok #tiktoksomalia

Dr Kitundu Boaz
Dr Kitundu Boaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 28 December 2021 08:48:43 GMT
7422
240
22
21

Music

Download

Comments

puomoik2
aldory VII :
body imbalance at moment dizzyness and affection on eye vission
2024-07-06 14:49:53
0
xlookup31
Tech Master 🛠 :
Dr. Naomba uzungumzie madhara ya utumiaji wa mara kwa mara wa "Energy Drinks". Kama unavyojua zipo za 500 mtaani na watumiaji wakubwa ni vijana wadogo
2021-12-28 15:37:35
0
janethnase2
user2156980068625 :
naomb njia ya kupunguza kitamb
2022-01-18 07:51:06
0
muxymakoa
Muxy Makoa :
na madhara ya kitamb kwa mwanaume na jnsi ya kuondoa
2022-01-27 22:29:56
0
user861809126676
user861809126676 :
🥰🥰 agree
2021-12-28 10:34:46
0
gentixsatia
Gentix Satia :
tupunguze na nini vitambi
2022-01-08 19:03:04
0
katearika
katearika50 :
siri ya kupunguza
2022-01-02 20:47:03
0
sandesh.limbu777
Lɪᴍʙᴜ: 2002 :
Nikaz sana kumuelimisha mwanadam
2021-12-28 10:03:26
2
user7733028794061
user7733028794061 :
Mimi nataka kumalisha kitambi
2021-12-28 09:16:59
0
kapesashamte
Kapesa shamte :
au ndiyo maana niliumwa miaka ya nyuma🥺🥺🥺na mbona sikuwa na mwili😳😳😳😳
2021-12-28 09:42:39
0
sandesh.limbu777
Lɪᴍʙᴜ: 2002 :
Mimi najishanga mwenyew nilipo anza kupunguza mwili nilikua na kilo kias ss najiona kabisha napungua kwa spid napima uzito najikuta nimeongezeaka
2021-12-28 10:07:11
0
user9824460303063
user9824460303063 nduwayo jojo :
miminiambie dawayagukatatumbo🥺🥺mimi inanibowa
2021-12-28 10:18:57
0
c.g1225
C g :
🤣🤣🤣🤣kwaiyo tufunge yama mwilini doctor jamani 😢😢😢
2021-12-28 11:04:02
0
user135220804952
carine mongambuli :
kweli niugonjwa nakumbuka nikiwa namwili wangu wakawaida nimekua mwepesi sana ila kwasasa naumwa kila mara kama sio mgongo kuuma basi miguu itauma tu
2021-12-29 16:27:51
0
katearika
katearika50 :
daktari mimi upumua kwa nguvu sana yaani watu uniambia mbona unapumua kwa nguvu sielewi shida n nini
2022-01-02 20:48:48
0
user1794008166030
betty angesa :
tufanyeje sass
2022-01-22 19:56:08
0
To see more videos from user @drboazmkumbomd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About