@ammarruwehy: NAAAM, Sambamba na Raisi wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan #ndiminjema #oldtaarab #ssh #foryou #duet #followme #tiktok #fyp #funny #trending
Ammar Ruwehy
Region: TZ
Sunday 09 January 2022 15:42:41 GMT
Music
Download
Comments
Bin Nassor🇹🇿🇶🇦 :
nimempenda mama SSH yupo simple sanaa...Allah ampe amzidishie afya njema pamoja na maisha marefu yenye kheri na barka 🙏
2022-01-09 16:06:23
91
Rocky :
wallah me napita tuu nasubili kupigwa mnada sijui billion ngap itakua 😏
2022-01-09 20:11:00
51
Mgani Kamoli :
mashallah mama jicho jicho
2022-01-09 19:44:55
40
nasirnofely1 :
lazima raisi akonge nyoyo n ye mtu na arooo jmn
2022-01-09 18:52:44
21
al_warid :
Mama samiya oyeeeee
2022-01-09 16:27:13
12
rahmajumbe355 :
mwenyew Hana makuu mama,
2022-01-09 20:14:03
20
Ummu Kamillah :
Mkataa kwao mtumwa
2022-01-09 17:05:47
14
Hadhraamy Hadhraamy :
napenda hilo poozzi lake mama samiya🥰
2022-01-09 16:54:21
11
Mayra206 :
MashaAllah bi Samia mrembo 🥰🥰🥰 mungu akueke akupe Hekma yakupambana na nchi yako
2022-01-09 17:44:08
12
user8178662801354 sifa simon :
sikupendi 😏😏😏
2022-01-09 19:22:31
10
ma2r36 :
mtu wa watu Kwa Raha zetu mama 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2022-01-09 19:17:46
8
MJ :
jicho mwanangu balaaaa tupu
2022-01-10 04:18:18
5
mwanabeke :
DELILA Samia kala kunguu
2022-01-09 18:57:08
5
Abla Mamy🦋♥️ :
jicho ilo🥰
2022-01-09 16:59:14
5
Hamad Fela :
Hongera mama kwa kujichanganya na desturi yko na tamaduni zetu za kipwani
2022-01-09 20:31:48
14
Güül 💕 :
anacheza kiraisi zaid😂😂
2022-01-10 00:58:35
6
@devidtuma :
bi tozo uyoo
2022-01-09 19:02:24
5
nuru makoe001 :
mashaallah mama anajicho 😍❤️
2022-01-09 17:06:40
7
rehtaq :
pw sn, kua raisi sio sababu ya kuto kuutimiza ujanajike wake wacha aburudike babu eee pambe tu🤗
2022-01-09 20:16:39
13
user4541087995267 :
ndo mana ana mipaxho (michambo)😅😅kumbee
2022-01-09 19:37:04
25
kistobe :
dah poleni watanzania....mumepata raisi wataarabu..
2022-01-09 18:27:40
80
cngle☣master🇹🇿 :
😂sipati picha wamachinga wanaoiona hii video😂😂😂wanatukanaje..?😂😂
2022-01-10 04:22:42
25
mt0towanjini :
sasa hizi ni zarau 🥺
2022-01-09 18:08:14
22
husnati :
mama Ni kauzu hacheki na mtu
2022-01-09 20:37:57
5
user3130044051242 :
mmmhhh, mama nayy kumbe yupo
2022-01-09 19:05:51
6
To see more videos from user @ammarruwehy, please go to the Tikwm
homepage.