@mahrez722: USIYAFANYE MAISHA MAFUPI KWA HUZUNI NA STESS #furaha #happiness #sheikh #sheikhmuhammadomar #muslim #usihuzunike #enjoy #enjoylife #mawaidha
Huenda siku moja nisiwepo hapa🥺, lakini maoni yangu yataendelea kuwepo, na vizazi vijavyo vitayasoma. Hivyo nashuhudia kwamba hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa isipokuwa Allah, na Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake) ni mjumbe wa Allah ❤️. Yeyote atakayesoma hili, tafadhali uwe shahidi wangu Siku ambayo tutasimamishwa mbele ya Mola wetu. In shaa Allah. Mwenyezi Mungu atusamehe madhambi yetu, Ameen
2026-06-13 02:32:44
1
ukhut qudraht :
saw alhabybi nimekuelewa
2026-05-07 05:22:58
0
sada habibu :
asant shekhe umeeongea point
2026-02-26 08:24:33
0
asmamuddy :
🥰
2025-10-03 16:33:47
0
Aunt Bai :
🥰
2025-02-27 07:30:45
0
chantuma😍 :
🥰🥰🥰
2025-01-17 06:21:35
0
Latipha Mirambo :
🥰
2026-03-13 06:38:44
0
To see more videos from user @mahrez722, please go to the Tikwm
homepage.