@hosspert: Babe 😘 mwenzako moyo wangu wa kike napenda nang'ang'ania..💥💕♥️💛#tiktotanzania #tiktok #fyp #foryoupage #foryou #viral

Hosspert
Hosspert
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 29 April 2022 11:59:12 GMT
15475
267
3
22

Music

Download

Comments

magreth.lady
Magreth lady :
🥰
2025-10-03 06:24:09
0
__cecy6
__cecy6🦋🤍🍭 :
🤣
2025-06-02 10:34:59
0
isher033
nailove :
😭😭😭
2025-12-22 21:30:42
0
To see more videos from user @hosspert, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Maombi Kabla ya Kulala: Ee Bwana Mungu wangu, nakushukuru kwa wema wako uliokuwa nami mchana wote. Ninakuinua na kulitukuza jina lako takatifu kwa kuniweka salama hadi saa hii ya usiku. Ee Baba wa rehema, najinyenyekeza mbele zako, nikiomba msamaha kwa kila kosa nililofanya kwa mawazo, maneno au matendo. Ninaomba utakase moyo wangu, akili yangu na roho yangu kwa damu ya Yesu Kristo. Bwana, natangaza kwamba usiku huu si wa kuwindwa na wachawi, si wa kushambuliwa na mapepo, si wa ndoto mbaya – bali ni usiku wa utukufu, wa maono, wa mafunuo na amani ya rohoni. Ee Yehova Nissi, unisimamie kama ngome ya moto; waagize malaika wako wazingire kitanda changu na kuniwekea ulinzi wa kiMungu. Ninatamka kwamba hakuna silaha ya giza itakayofanya kazi juu yangu. Nalifunika jina langu, familia yangu, na usingizi wangu kwa damu ya Agano Jipya. Roho wa Mungu, tembea ndani ya ndoto zangu; ziondoe ndoto za uharibifu na uzilete ndoto za kusudi, faraja, mafunuo, na ushindi. Ee Baba, nizungumzie mambo makuu nikiwa nimelala, kama ulivyomzungumzia Samweli na Yusufu, ili asubuhi itanipata nikiwa na ufunuo mpya. Ninakataa ndoto za kula, kufukuzwa, kushambuliwa, au kuzuiliwa; ninakataa ndoto za mahusiano ya kishetani, na ninatangaza uhuru wangu katika Kristo Yesu. Ee Bwana, niongoze nilale kwa amani na niamke nikijaa nguvu mpya, shukrani mpya, na ushindi mpya. Ninalala mikononi mwako, nikiwa najua umelala macho kwa ajili yangu, kwa maana wewe hulali wala husinzii. Katika jina la Baba, la Mwana, na la Roho Mtakatifu, nimeomba. Amina.

About