mm huwa naoga ndio nachukua udhu mwisho je niko sahihi
2025-07-05 19:02:06
0
BŁĄčĶ qnď ŤąŁŁ 🦅 :
shekhe tunaomba iyo dua uloisoma hapo nje ya choo kabla hujaingia
2025-07-30 14:10:49
11
BIGDADY🌍 :
Alf hawaingiz mkono kwny kopo wkat wa kutawazaa
2025-03-01 20:10:18
6
mkauma5 :
sasa shekhe unasema usipo gusa seem za sir unaweza kwenda kuswali bila hata kutia udhu na wakati mashehe wengine wanasema ukiingia2 chooni udhu umekutoka sasa cjaelewa apo
2025-03-09 03:08:34
8
Dume la mbegu :
je yafaa kuoga janaba na shawa sheikh wangu
2025-03-04 04:19:06
3
alhmdulilah.... :
mashallah mashallah mashallah
2022-05-08 03:48:46
1
barisa kassim rashid :
jazakallah khair
2022-05-08 06:13:57
9
user8255277504936 :
yapendekezwa mara tatu isipokua kufuta kichwa na masikio
2025-02-21 19:33:32
2
Mohaaaaaa :
jazak-Allah keir Ustaadh
2025-09-10 15:55:55
1
isilai hija :
asante sana allah akuengezee kila lahel
2025-07-13 18:12:41
3
baby sweet ❤️❤️ :
mashallah
2024-08-26 10:38:18
2
tiffahmody :
mashaallah 🥰👌
2025-07-25 12:07:31
1
Minaah❤️ :
Mashaallah tabarakllah 🥰🥰
2024-03-07 15:15:15
3
Nurath juma kabwang :
mungu akulinde
2025-09-13 18:34:37
1
Aw2 :
tunao angalia 2025 tujuane😅
2025-11-26 11:42:30
11
BIGDADY🌍 :
Sasa hapo utakua mtupu au utakua na nguo cijaelewa
2025-03-01 20:08:35
1
Asanat Khermis :
jazakaAllah kheir
2025-07-05 15:45:36
1
ubabalu :
mashaallah Ustadh
2024-06-13 00:17:33
2
cow boy 45 :
MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU NA MWISHO MWEMA SHEIKH WANGU
2025-08-24 11:58:13
1
Sugarlips770 :
🥰🥰MashaAllah
2022-05-09 17:19:12
2
user5614235215412 :
shukran jazakallahu kheir kwa tutugunza
2025-07-11 09:26:44
1
Its RIGO😋 :
mashaallah
2025-02-08 07:42:07
2
Chimwa toto❤️💥💫 :
mashallah asanty san shekh
2025-09-12 19:51:51
1
To see more videos from user @habibtynaj0, please go to the Tikwm
homepage.