@roy.kanyi: #roykanyi Kumbe ni ukweli. #luhya #food

Roy Kanyi
Roy Kanyi
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 13 June 2022 08:00:01 GMT
188932
20367
1041
187

Music

Download

Comments

mwang1h
Mwangi🇰🇪🇺🇸🇩🇪 :
Sasa chapati saba ni mingi?
2022-06-13 08:20:50
414
i.t.s_tele
Tele :
😂😂😂sasa kuonja chapo saba ni kitu ya kushtua
2022-06-13 11:16:57
367
ndila16
faith ndila :
mimi nilikua nahamishwa na mluya akasema haezi fanya kazi njaa akasimama by the roadside for 1 hr akule nd i was in a hury alikua ashachelewa kuja c
2022-07-22 10:26:15
0
jakiekatumo
jakiekatumo :
Chapo saba ni kitu ya kurecordia mtu video😂😂😂
2022-06-13 10:38:57
288
___shu0
❌ ShaBrezzY ❌ :
1 and half and am good
2022-06-13 11:05:00
67
brighton_s
Brighton :
shocked na 7? come I show you mtu anakula a whole 2kg na mayai mbili. in one set
2022-06-13 08:32:04
43
akinyililian.ke
akinyiLilian.ke :
😂😂😂 a she??
2022-06-13 08:18:01
110
breebeauty_parlour
breebeauty parlour :
sasa Chapo 7 ni kitu ya kutuanika shuwali😂😂iyo ni ya kungoja maji ya ugali ichemke😂
2022-06-13 11:21:39
94
user5848702200926
user5848702200926 :
Saba tu😅😅😅😅
2022-06-14 15:32:31
2
ephiekyla6
🖤🖤 :
sasa kukula chapati 7 nikitu ya kukua shocked surely hata hiyo amelala njaa😂
2022-06-13 10:33:00
76
titoh_m
Titoh :
Sasa snacks ndio unalalamika hivyo😃😃
2022-06-13 17:28:23
58
kevin_och
Kevin :
Tell Them karibu at your own risk.
2022-07-24 19:19:44
0
wahu88
wahu88 :
chapati saba tuu😂😂😂kama ulikuwa unataka astarve si ungesema tu😏😂
2022-06-13 12:29:24
46
joeysharlyne
@JOEY🍫❤ :
Sasa mbona unastress jina seven😳😂😂😂😂chapo saba n kitu ya kulia sosho media😏😂😂😂😂
2022-06-19 23:31:11
1
wanja_aa
wanja_aa :
Saba tu😂😂huyo si alilala njaa😂😂
2022-06-14 19:24:46
4
jelagat22
jelagat22 :
Sasa chapati seven ni kitu ya kushtua mtu😂😂😂
2022-06-13 09:49:59
21
dorinmwawasi
dorinmwawasi :
sasa chapati 7 nikitu ya kustua mtu shuwali😅😅😅😅
2022-06-15 04:26:26
2
shivomaster3
addictive_soul :
sasa chapati saba ni kitu ya kuanika mtu😁
2022-06-13 12:32:49
19
deefrenzy
ᴅᴇᴇ ғʀᴇɴᴢʏ :
😂😂😂😂😂😂chapati Saba Sasa ni kitu
2022-06-14 06:40:27
5
carlskarol1
Carl's 💖 :
did I hear u right she??😅😅 uyo ni brathee😂
2022-06-13 08:22:52
11
harrie099
Harrie :
just 2 😂
2022-06-13 08:16:53
13
lindakhatenje
Linda Khatenje :
nilidhani ni mambo na ugali...kama ni chapati hata hizo saba umemuonea tu aki😂😂😂😂
2022-06-14 21:53:51
5
lifeofwhitneyhecky
Whitneyhecky :
l eat three at maximumu seven is alot😳
2022-06-13 10:28:00
5
carolisa011
🍁carolisa🍁✨ :
Just 1
2022-06-14 10:48:17
5
e_reginah
big sisss🌹 :
you lucky she wasn't hungry 😂 otherwise hungekua unashtuka😂
2022-06-14 13:12:58
3
To see more videos from user @roy.kanyi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About