@juniorkivurande: Haya haya sasa kumekucha ni mwendo wa burudani kwa kwenda mbele wale wakazi wa morogoro ni zamu yenu kubata burudani kutoka kwa mfalme wa kibao kata sonara wa maneno @kivurandejunior tarehe 9 jumapili mwezi huu wa kumi ndani ya @samakispotmorogoro njoo tufurahi na marafiki zetu wapenz wetu na ndugu zetu hakuna kingilio ni macho yako na miguu yako ni kwenye usiku wa #swaga za uswahilini