Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@mawaidha24hours: AL-HAJJ SHEIKH OTHMAN MAALIM #HukmuYaKusomaMaulid
Mawaidha 24 Hours
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 14 October 2022 14:38:42 GMT
37515
1488
93
332
Music
Download
No Watermark .mp4 (
1.81MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
1.81MB
)
Watermark .mp4 (
3.45MB
)
Music .mp3
Comments
🐋 I.ᵃM_ᒪɪsᗩɴᴅʀO🦈 :
sheikh wangu ustadh wangu ila hapo kwa maulid umefeli ....hamuna fatwa muna hadithi za abunuwasi kujitetea😁😁😁
2022-10-16 21:50:58
9
user9091241867916 :
apo kwa maulidi sheikh simo japo weh nisheikh wangu
2022-10-15 05:48:52
6
mudzein :
mashallah sijaona uharam kwenye maulidi🥰
2022-10-14 19:03:00
3
Sssshhh!!🤫 :
Hii Maulid naona inafaa bt kuna hawa wengine hawasomii Maulid wanafanya kufuru wanacheza kama kucheza ngoma club c hvo n kusoma maulid wafrahia
2022-10-17 22:45:18
1
Haqeem :
kwa hio point ni wingi wa watu? kwan Allah anasema juu ya uwingi wa watu, ولاكن اكر الناس لا يعلمون
2022-10-16 03:25:35
0
abdulmtuha :
sheikh tupe aya au hadithi c hatutaki t maneno yako c tunataka kabla rasul au kala llah
2025-05-22 05:04:06
0
254# :
wewe hata sunnah Ya ndevu imekushinda
2022-10-14 18:03:37
5
Bin Hisham.... :
ndo dalili ya kuhalalisha ibada hiyo kuwa asilimia kubwa ya watu wanafanya......?
2022-10-14 20:55:20
5
Lion :
waambie Mana mawahabi elimu zao finyo
2022-10-14 20:32:34
3
Abukhayrati :
jambo lalote la hupotevu basi lazma jindoke na wajinga
2022-10-15 04:45:06
3
innocent76 :
Uthman hufayi kuitwa sheikh unakwenda kinyume na Aya 6:116 soma Quran nauelewe sio unafara matamanio yako
2022-10-14 22:42:33
2
Ashashuu🎈 :
mashaAllah🥰
2022-10-19 17:40:03
1
user4591200790263 :
Watu hawana hata elimu ya Dini wanakukosoa wewe Sheykh wakasome Kwanza
2022-10-15 08:10:54
1
ashuubaajun237 :
tumswàlie mtume wetu kwa wingi
2022-10-15 07:06:39
1
alugayaabu :
Sikubaliani na wewe hata kidogo
2022-10-15 06:57:37
1
Hassan wako :
Masha Allah
2022-10-15 19:15:41
1
ramamchin :
Suna za ndevu TU huna
2022-10-15 03:03:36
1
Ahmeid Young :
maa shaa Allah
2022-10-14 18:50:01
1
user3106744247566 :
S A W
2022-10-14 18:44:27
1
user6657020120342 :
sema weeeee ila maulidi niharamu
2022-10-16 20:34:21
0
habibaomary1985 :
nikweli
2022-10-16 18:49:41
0
Ahmelteejo :
nitakubali waadhi mwingine ila si maulidi waAllahu aalam
2022-10-16 11:39:44
0
ابوعبدالله :
Subhanallah, ukasome tena akhy
2023-09-25 10:22:28
0
youngman🤍 :
@axrzq.700
2022-10-16 23:51:44
0
malgan chur tif :
uongo wllh
2022-10-16 06:58:16
0
matibwa :
Anae sema Maulidi haramu atoe dalili sio kufata mkumbo tu.
2022-10-19 20:01:29
0
user7587124298529 :
Sheikh juu ya tumbo unatetea batili Subhaana Allah
2022-10-20 05:25:40
0
mnuyrath :
Allahu Akurehem na akupe umri mrefu Maalimu
2022-10-20 06:35:59
0
omarshamte345 :
mtume kafundish hiv
2022-10-20 08:44:13
0
omarshamte345 :
kafundisha au unaropokwat shekh wangu usongee t2 et nafrahish wat
2022-10-20 08:44:52
0
ABU IBRA :
kwanini AS'HABU NABII hawakufanya maulidi?!!!tuelimishe kwa hili, ukisema uma kidogo sikuelewi kwani ulimwengu mzima wa sasa niuma wa nabii s.a.w
2022-10-20 18:02:00
0
abas raiya :
Innalillah wainailih shekhe muombe msamaha mola wako hakika utaenda kumjibu mwenye zimungu kesho hilo unaloongea
2022-10-21 13:53:08
0
user8047646693629 :
MashaAllah 🥰🥰🥰
2022-10-21 21:08:57
0
ARENA GOLD :
hapo kaka umekosea stepu .... dah ...
2022-10-27 22:17:34
0
Muhamed Daudi Awazi :
acha kupotosha uma kuna kufa mzeee
2022-10-15 15:48:09
0
ali. hussein :
minafikiria wewe ni muisilamu maana
2022-10-14 19:01:05
0
dullahdefirmino :
halamu hayo
2022-10-14 20:55:06
0
innocent76 :
Kwa Aya 6:116 katika Quran " Ukifata ya wengi katika Ardhi itakutoa katika njia ya Allah nao hufata ila dhana tu" Maneno Uthman yanapingana na Aya.
2022-10-14 22:41:05
0
mustafa abdul :
wacha kudanganya umma.eti asilimia 80%😁
2022-10-15 05:42:34
0
سعيد الرواحي :
aaaah.... achana na sisi tuambie mtume katwambia tucheze au sirah gani ulosoma umeona mtume kayafanya wanayofanya Hwa watu wa maulid
2022-10-15 05:48:15
0
abuu nabil :
@nasskunta:huyu shee kuyatetea maulid ni kipimo tosha cha elim yake ya dini. ni mzee wa visa sio kama wale Masheikh wa Kitabu na sunna
2022-10-15 05:58:38
0
complex75 :
Maulidi ni kheri au ni Shari? je mtume na maswahaba wake waliijua hii kher au hawakuijua,je Mtume aliifundisha maulid au hakuifundisha?
2022-10-15 06:41:26
0
user1831043576762 :
hapa sikuungi mkono kabisa eti zaidi ya asalimia 80% ndiowatu wakusanyane wacheze Kama wendawazimu
2022-10-15 11:47:02
0
user2699959777919 :
Tatizo si maulidi Tatizo jinsi wanavyo ya adhimisha iweje muislam unakata mauno kisa maulidi
2022-10-15 14:09:14
0
سعيد الرواحي :
makundi makubwa ya watu wanakusanyika wanafanya maasi wee sheikh apa unatak kufndisha nini watu
2022-10-16 05:56:10
0
The Asura :
Haraam😅😅
2022-10-15 17:32:09
0
Dee mack :
sheikh langu wambie Hawa mawahabi maana kwakukufurisha watu tu hawakawiagi watakitabiria moto bilakujali wao hujiona wasaaaaafi peponi bila hesabu ut
2022-10-15 18:32:09
0
Selemani B Chadi :
kwani mtume s.a.w yeye mwenyewe aliishehelekea sikuyake ya kuzaliwa?
2022-10-15 19:11:48
0
mohammadyakut2 :
mashallah
2022-10-15 23:22:16
0
mohammadyakut2 :
Allah barik
2022-10-15 23:22:27
0
Haqeem :
maulidi ni bidaa na hakuna bidaa nzur mche Allah
2022-10-16 03:25:56
0
To see more videos from user @mawaidha24hours, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#juliafiness #юляфинесс #finess #jf
#اكسبلور #ونبيس #explore #greenscreen
Karma Fiki naki kah? 😰 Duh jangan begini deh #hororstory #horor #ceritahoror #cast #paketsantet #filmpaketsantet #dikiriminpaketsantet #fakesituation⚠️ #masukberanda #viralvideo #fakescene #fikinaki #ometv
Đã làm gì đouu? #trending #tiktok xh #fyp
🤫🤫🤫 #sarcasm #husbandwife #marriedlife #womenwear #trending
the print goes crazy #sweatpants #leopardprint #streetwear #mensfashion #OOTD
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy