asalam alykum, mtu mwenye kujua huyu jamaa anapopatikana anielekeze na kunipa mawasiliana yake tumsaidie
2022-11-06 05:25:57
191
Rukia Hassani Masaya :
allah amuongoze awe mtoa daawa
2022-11-04 19:27:17
149
His queen 🫅 :
MashaaAllah 🥰Don’t Judge a book by it’s cover
2022-11-06 03:31:16
105
tajiriwahuruma :
mashaAllah kakangu Allah akufungulie njia umenipa uzuni kweli usidharao MTU ,ni kariako ya wapi Tz au ya kenya
2022-11-08 06:52:14
39
ulfa :
Allah akupe barka na neema zake
2026-02-03 16:51:54
10
Mopao 🇰🇪 :
Mashallah.. Dear brother's and sister's Comments will not help without us take action and save this beautiful soul 😢😢tumeni location.
2022-11-06 05:36:25
63
Fatoom ibrahim🐦 :
Mashaaallah Allah akufanyie wepesi katika mitihani ulio nayo amiin 🥰🥰
2022-11-05 04:40:43
36
umm_said0 :
MaashaAllah Allah akuongoze akuondoshee huo mtihani yarraby
2022-11-05 04:01:19
31
nishal kikoto :
mashaallaah Mungu akujalie maisha mazur yenye furaha tele na mafanikio ya heli🙏🏾🤲
2022-11-08 19:13:00
17
surgy april :
😢😢😢 mungu atamjalia mwisho mwema
2022-11-06 13:37:54
22
Babyesha :
mashallah m.mungu amvue na amuondoshe alipo
2022-11-05 04:31:07
8
Samil 096 :
naww ulomposti ulikua nania gani lia au kumsaidia
2022-11-08 17:05:48
10
Kashlebeauty🥰 :
Mashaa Allah 🥺sjui kilimtokea nn maskin kua katk hali hiyo ihali anauwelewa wa din 100%
2022-11-05 04:53:08
18
morning123 :
mashaallah Allah amuondolee kila Baya na amkaribishie kila lakher
2022-11-05 03:21:41
53
zeybeb001 :
mashallaah
2022-11-05 03:27:00
6
babakeabdallahali :
Huyu amenishinda walahi. 🥰🥰
2022-11-06 06:18:34
13
Aziza Soud825 :
Masha a Allah naomba mawasiliano ya Kaka yangu huyu kanigusa, jamani subhanallah
2022-11-07 08:39:54
5
asyaahmed940 :
MashaAllah Allah amfanyie wepes kwakila zito InshaAllah ameen
2022-11-04 19:39:41
8
💕 ONE LOVE 💕 :
never judge a book by its cover
2022-12-26 20:07:57
10
anootmamy :
mashaallah ☺️ama kweli usihukumu mtu kwa muonekano wake
2022-12-18 08:59:08
6
amin.attai :
alempost ndio aliefanya mimi na wewe kumuona na kujua umuhimu kwa alichonacho hakufanya jambo baya sio kila kitu challenge,pia tumepata faida ya daawa je wewe uko na ujumbe gani kutoka kwa Allah kama uyo ulieuliza kwanini kapostiwa
2025-09-26 07:45:28
9
kusagajr :
Asante kwa ukumbusho Allah akupe tawfiq katika Mambo yako
2022-11-06 16:04:16
4
Omary Raja :
nna zawadi yake
2022-12-14 03:11:16
3
Abby kashuba Actor......ii :
Daaa mochozi yana nitiririka ninapo angalia hii vidio...ii
2022-12-15 07:24:08
4
To see more videos from user @ayoubally3, please go to the Tikwm
homepage.