@chichigrilltz0: Tuna Choma Kuku wa kienyeji na wakisasa.Wa kienyeji Mzima 36,000Wakisasa Mzima 16,000Kuku wetu ni watamu sana ni PeRiPeRi Chicken Zaidi ya kuku wa ndimu! Tuna patikana Tabata Segerea Kwa bibi.Tuna deliver. 0782203483. #ticktoktanzania #ticktokkenya🇰🇪 #periperichicken #chichigrill #fyp #kukuchoma #daresalaam