@mbengo_tv: Mrembo wa kufungia mwaka

Mbengo_tv
Mbengo_tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 13 November 2022 20:46:00 GMT
1157317
58276
3107
1809

Music

Download

Comments

kk_deco
kk_decor :
mtanzania wa kwanza kusema ukweli
2022-11-14 04:20:18
891
user2182189811168
tifa21@* :
mhhh huyo anatumia ef 10 anasifiwa na Mimi natumia ef tatu naambiwa natumia viby😭😭😭
2022-11-13 22:26:37
314
mathisound
Mathi sound :
mtanzania wakwanza kuona anaongea ukweli
2022-11-14 00:21:10
4
itsmakey0
itsmakey💅🏽💚 :
nyie nmeskiliza kwa makini nilijua atasema milioni kumi😂😂
2022-11-14 03:35:51
381
kibetdalmas4
user14212707027028 :
bado kuna watoto kama huyu Tz?😊 Namtafuta mmoja, am from Kenya😅😊
2022-11-14 03:20:22
83
momogbe
momo :
hivi shazam haiwezi search uyu dada tumpate😂😂😂
2022-11-14 03:33:19
353
ziyuun_movic
Ziyuun_movic :
sanamu lako lipo dodoma ndani ya bunge pembeni ya meza ya spiker wa bunge, 🥰🥰🥰🥰
2022-11-14 03:44:31
484
hamadfella
Hamad Fela :
Angekua yule chizi magy angesema kwa cku milioni 3😂😂😂😂
2022-11-13 21:38:09
254
bonitahrr
Bonitahrr :
dada utapigwa matukio akili itakukaa sawa..utavuka tu upande wa pili😂😂😂😂
2022-11-14 04:24:20
3
ms_ninah1
N.I.N.A.H🎀💞 :
Nimekimbilia kwenye comments kwanza😂
2022-11-13 22:31:10
293
mamajuju075
mamajuju :
nilijua anataja million maan alivyoo anza week inasiku ngapi 😂
2022-11-14 02:07:24
283
fxkiller_ke_
FXKILLER_KE :
I love how honest and humble she is🥺
2022-11-14 03:42:45
182
abbyhoza97
abbyhoza97 :
Nilikuwa nasubiria aseme million 10 per week kama wale dada zake wa show off🤣🤣🤣
2022-11-14 03:59:21
3
doreenthiaby
doreen T :
elfu sabini ni ngapi hapa kenya🇰🇪
2022-11-16 12:03:23
5
jairosy1
jairosy1 :
daahh nimependa dada angu umekua mkweli tu
2022-12-09 19:31:24
1
judymwacha
judymwacha :
kila wiki elf 10 gawanya kwa 7 kwa siku 1450 siyo
2022-11-14 04:23:33
3
000..kreezy
@Kreezy*!.. 000DANCER.. :
tuliokuja kwenye comment tujuane
2022-12-08 22:30:16
9
babalavin1
T S U M A J A Y :
so hiyo ni almost 3600 kshs?
2022-11-14 03:33:40
3
samuelchale69
Ismail chale :
hella ya wapi!?
2022-11-14 04:31:35
4
pembezandovu
PEMBE ZA NDOVE :
Sina cha kusema zaidi ya kusevu hii video yako😂😂
2022-11-14 12:00:52
5
user9763945119213
Jaydee :
elf kumi ya Kenya ama Tanzania?
2022-11-14 11:14:58
3
shuntu__
SHUNTU :
elfu kumi yenu huku kenya ni mia mbili 😂
2022-11-15 19:36:33
2
rbm285
user8925999381064 :
amesema matumizi yawiki elfu kumi so elfu 70
2022-11-14 19:15:29
2
philippinequeen0
sarah :
And she is beautiful more than other girls who says they can use more than 1m per week😂😂😂😂
2022-11-13 22:52:29
5
nelsoni.charles
Nelsoni charles :
nimeanza kujenga sanamu lake hukuu... na ulinzi nitaliwekea 🔥🔥🔥🔥...
2022-11-14 10:54:09
2
To see more videos from user @mbengo_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About