@jkizondo_swahilibites: Vitumbua Recipe on demand! - 2 cups washed and soaked rice - sugar to your taste - 1 heaped Tablespoon yeast - 1 egg - a teaspoon cardamom powder - vanilla extract - 1 heaped Tablespoon flour Blend to complete softness, USIWE NA CHENGA KABISAAAA 😡😡! Wacha uumuke kisha pika on low to medium heat. Enjoy 😋 #jkizondoswahilibites #vitumbua #vitumbuwa #ricedumpling #recipesoftiktok #tiktokrecipe #lamutiktokers #lamu #bajunitiktok #mombasatiktokers #mapishi #eastafrican #tanzanianfood #zanzibarfood #tanzaniatiktok #zanzibartiktok #mombasafood #kenyanfood #swahilifood #swahilifoodsinatlanta #xyzbca #foodtiktok

JKizondo Swahili Bites
JKizondo Swahili Bites
Open In TikTok:
Region: US
Monday 19 December 2022 03:44:32 GMT
47064
1508
89
312

Music

Download

Comments

jkizondo_swahilibites
JKizondo Swahili Bites :
- COCONUT MILK - kunradhi nimesahau 😂😂
2022-12-19 03:49:13
0
ummufawzaan4
UMMU FAWZAAN❤️ :
shukran nmeipenda japo umetupeleka Amu 😅😅😅😅
2022-12-21 13:38:36
1
user5757758706993
Habib¥ Mansoor . :
ukuvyona mame, zitumbua zinchokedhea👌👌 unitamanisha imi Yakhee😋😋
2022-12-19 07:16:51
2
ayshashakeel4
Aysha Shakeel :
Kiasi cha tui haijatajwa hapo ktk caption
2023-03-21 14:55:45
0
shamsyshamy000888999
000888999 :
si hiyo kitumbua ni ni hiyo lugha ❤ 😍 💖 ❣
2022-12-19 07:40:37
0
alawiya72
alawiya adnan :
sindondo ni katitikatiti
2022-12-19 17:13:26
0
fatimamahazi22
FATIMA MAHAZI :
tuko iyau yau mwenechu ndhovona vichumbua vitamu😂😂😂😂😂
2022-12-19 03:51:03
4
user68497228515931
user6849722851593 :
my fav😋😋😋😋...jetendra 😂😂
2022-12-19 05:01:23
0
user9785918155335
user9785918155335 :
kitumbua kma chako bikizondo
2022-12-19 12:02:43
1
user9159269616697
blessings :
una dhambi ww mama umenitia njaa na hamu na vichumbua va mayai ya kienjeji ya jano na thai ya madhiwa vene hilikiii😅😅😅🔥👌👌👌
2022-12-19 06:40:08
0
hinduhussein
Hindu Hussein :
Huyambo 😂😂😂hunena iyeee
2022-12-19 03:49:57
2
halishh
halish :
hatuyambo nawe ukeiye na wanao
2022-12-19 18:12:55
0
swabri9429826861424
swabri :
wow mashallah
2022-12-19 08:30:06
1
user642190425032
user642190425032 :
mbona hujatowa kipimo darling
2022-12-19 06:58:02
0
ameer_muu_salim24
abou_muhammad_ameer❤️❤️❤️ :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwenyechu hiyau hutupikia zitumbuuwa za kidhungu....basi nthundiya zitumbuwa sita nivape vachu...Mubaarak 3alayk ukhty 🥰🥰🥰
2022-12-19 09:37:46
0
princess_.saadiya
saadiyaomar :
eeeehh mwenechu zichumbua zizuri 😅
2022-12-19 06:03:50
1
eunice_marrie
marrie❤️ :
after mixing waeka for how long kisha ndio uchome pls
2022-12-19 10:21:10
1
yusufpakiro
curiosity boutique :
na chauni wachu rauni huchia kwapi
2022-12-22 17:28:52
1
coolboy9556
Swaleh Baalawy :
nchu kwavo🤣
2022-12-20 16:14:29
0
jaymarvelous10
JayT :
Nadia njoo nikufundishe kiswahili
2022-12-21 01:34:11
0
swalehelshabiby
swalehelshabiby :
Natamani kitumbua 😂🥰
2023-02-04 22:18:41
0
malik_shariff
Malik Shariff :
Dah! Tokea nzaliwe sjaskia chakula kikitishwa bado! 😂😂😂
2022-12-27 14:40:09
0
sitijabir1
Siti Jabir853 :
hayee uo unga unaufanya mwepesi au mzito dear
2022-12-20 15:16:20
0
dengerous_mind
♠️♥️ Bad Card ♦️♣️ :
safari hii mpaka wazungu watafute bibi wa kiswahili 😁🥰
2022-12-21 19:30:35
0
To see more videos from user @jkizondo_swahilibites, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About