@rafaelalribeiro_: yessir

rafa
rafa
Open In TikTok:
Region: US
Monday 26 December 2022 13:28:52 GMT
8260
413
6
3

Music

Download

Comments

marchimalloww
marchimalloww :
Uaauu
2022-12-26 20:36:57
1
valevonta
valevonta :
MARAVILHOSA
2022-12-27 00:56:53
1
username283883939
username28387474738 :
where the outfit from please ?? @rafa
2023-01-17 14:52:35
0
valdecisantos900
valdeci :
very beautiful
2023-03-05 18:03:11
0
nilcukurkaya
nilcukurkaya :
@Venus💋🪩
2023-03-12 19:53:21
0
To see more videos from user @rafaelalribeiro_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Tume: Sheikh Walid na wenzake wana makosa Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa pamoja na masheikh wengine wawili wamekutwa na makosa kufuatia uchunguzi uliofanywa na Tume Maalumu iliyoundwa na Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania na Mwenyekiti wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Abubakar Zubeir bin Ali. Akiwasilisha ripoti ya Tume hiyo leo, Katibu wa Tume, Dkt. Abdallah Tego, amesema uchunguzi ulihusu makosa ya kimaadili na kiuongozi, ambapo Tume ilikusanya nyaraka mbalimbali, zikiwemo taarifa za mitandaoni, kufanya mahojiano ya ana kwa ana na kwa njia ya simu na mashahidi, wakiwemo viongozi waliofanya kazi kwa karibu na masheikh hao, pamoja na kupokea maelezo yao ya utetezi. Hata hivyo, Tume imesema Sheikh Walid Alhad Omar Kawambwa, hakuitikia wito wa kufika mbele ya Tume kwa ajili ya kutoa utetezi wake, licha ya juhudi zilizofanywa na Tume kumtafuta. Kwa upande wa Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassor Issa, na Sheikh wa Mkoa wa Kigoma, Sheikh Hassan Idi Kiburwa, Tume imesema waliitikia wito na kufika mbele yake kwa ajili ya kutoa utetezi. Kwa mujibu wa Tume, maelezo yao yalisaidia kupunguza uzito wa baadhi ya makosa yaliyokuwa yakiwakabili. Tume imewasihi Masheikh hao kusikiliza na kuheshimu uamuzi utakaotolewa na Baraza la Ulamaa, ikieleza kuwa hatua hizo zinalenga kulinda maslahi ya umma wa Kiislamu. Aidha, imeutaka umma kuwa mtulivu wakati ukisubiri uamuzi wa mwisho wa Baraza la Ulamaa. 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia

About