@muumiles: Nyie watu wanwivu mpaka basiiii 😂😂….. Ladies kama nawaona😎 @officialzuchu #zuchu #wcb #tiktoktanzania #tiktokkenya #viral #joke #fyp

Director Muu
Director Muu
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 30 December 2022 17:47:58 GMT
1365095
45459
324
1052

Music

Download

Comments

suumasha
Suu Masha :
ndio maaana hunenepi wivu nkidonda ukishiriki utakonda bsi nkweli ,heee n huyo diomand
2022-12-31 04:51:21
93
rawakha26
Raya :
zuchu umeamuwa kapendeza mashalla
2022-12-31 07:04:07
44
monaprincess03
officialmona tZ 🇹🇿 :
sa kwa uyo diamond mbn utakufa na,wivu😂
2022-12-31 19:28:13
69
previous0323
user5294737650907 :
ata ajasema ana wivu kwa diamond lakin watuuu 😏😏 ee mungu nifundishe kunyamaza😶
2023-01-02 20:57:48
46
vickjoseph899vi
Vick Joseph899 :
mtu yoyote anatakiwa awe na wivu kwa mwenza wake
2023-01-03 05:28:19
14
mam.jackline
MARIAMU S,H :
kwenda huko mbayaaaaaaaahuyooooo
2022-12-31 14:22:31
5
user307549958424
mamybb :
hongera tuko wengi😂
2023-01-02 13:51:44
3
vickitoria_viv
two one :
Utakufa sio kwa D tunakusubri
2023-01-02 07:28:30
3
shynessgirlofficial
Shynessgirlofficial :
Mbon nam nimefurah😅🥰😂
2025-09-09 06:04:49
1
neemakana
user8848323581984naima :
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake tatizo nikua ww wamuona mmbahya na labda amekuzidi hata kipato chake duuhhhhhh wcha nicheke binadamu wabaya🤣🤣
2023-01-01 08:53:49
3
betty425317370
BettyAlto :
zuchu kienyeji
2023-01-01 07:25:05
3
evlynmisangwa
veve🌹🔐 :
😂😂😂kivuruge wenu sasa machawa wake
2023-01-04 20:03:37
2
rizllarchaiz
rizllarchaiz :
kicheko sasaa😂😂
2022-12-31 18:12:10
2
thecelebrity_realtor
Thecelebrity_realtor :
Basi jiandae utapata presha huko kwa D
2023-01-02 17:18:31
2
fardosa023
fardosa Queen 👑 :
kama mm 😂😂🤣
2023-01-01 19:12:08
2
ummyarqam
UMMY ARQAM :
Wivu ety umeumba mtu wewe
2022-12-31 09:30:31
2
habiba.kiponda
habiba kiponda :
utakoma
2022-12-31 20:02:43
1
hussnasandra
hussnasandra :
na ivyo vinguo sasa.looo
2023-01-03 16:54:41
2
britonwendy43
♡Emanuel♡ :
huwezi kuwa na mwili nyembamba na ukose wivu😏
2023-02-01 14:32:47
2
ma2ryam5
Marie :
😅😅😅😅lzma ukipenda uwe na wivu na ndio upendo 🥰🥰🥰🥰
2023-01-01 13:39:43
2
channyanjen
channyanjen :
Njoo mana unakonda kipenzi
2023-01-02 07:10:21
0
agieagie71
agieagie510 :
nimekimbilia kwa comment wivu na uyo simba ujue chakula chake ni nyama na simoja anataka nyama za wanyama 🤣
2023-02-05 05:56:35
2
jajuzez
Ajm :
Sura kiatu
2022-12-31 14:34:46
1
abu_khaleed1
Abu_Khaleed :
😂😂😂mnackia sauti ya mondi lkn ama wambea meziba mackio😂😂😂wivu kidondaaa
2023-01-04 22:11:59
2
To see more videos from user @muumiles, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About