Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@fifisugar: Mwanamke ni nani🤣🤣#tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #fifisugarr #fyp #tiktokkenya
Fiona Nkya
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 10 January 2023 11:13:13 GMT
143588
8939
857
1766
Music
Download
No Watermark .mp4 (
14.69MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
16.03MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
3k :
mwanamke ni mtu pekee anaweza kuolewa na mwanaume ambaye hampendi just for life security
2023-01-10 12:22:45
164
TwistedMind🦅 :
mwanamke ni mtu wa ajabu Sana. Anaweza kuwa analia huku anajiangalia kwenye kioo kama analia vizuri au vibaya😂
2023-02-24 12:57:42
49
vanillah❤️ :
mwanamke ni mtu ambae anasema hi guys kuna kitu nataka kuwaambia🤣🤣🤣🤣
2023-01-10 13:06:30
30
j.love🦋🦋 :
kazi yangu inasumbua hata hailipi 😅😅😅😅
2023-01-10 14:30:00
27
The Cooper Ivy Liquor Store🍷 :
Mwamke ni mtu ambae ana hadi passport lakini wew kama main boy wake hujui 😂 na ndege anapanda sana 💔
2023-01-10 11:43:03
2
🦋Scotty✨🦋 :
Mwanamke ni mtu ambae hana kitu chochoteee yani hakuna mwanamke mwenye hela😂😂😂😂😂😂 lkn anacheza vikoba😂😂
2023-01-11 11:11:18
2
Angei :
Why are you telling them our secret 😩😩😩
2023-01-11 12:49:02
25
monicageorge879 :
my naitaji kuwa na save video zako ili niangale mara kwa mara au uwe unanitumia
2023-01-24 13:34:57
5
Boss_girl😍 :
Yani hii story wajiongea ww tuu dada manake kuna wanawake loyal na sio mmoja wala wawili wengi tuu🥺🥺
2023-01-11 03:53:17
3
Adneloo :
mwanamke mmeumbwa kututia majaribuni asèe....🤣
2023-01-10 20:46:27
3
like💦🦋 :
dada fify Siri za Kambi hizo😂😂
2023-01-10 13:45:50
3
Linah collection stor 😘🙏🏻 :
dafifi unatoboa Siri za Kambi sasa😂😂😂😂😂Yani Mungu anakuona🙌🙌
2023-01-10 13:25:40
2
ausi91 :
Mwanamke Ni Mtu Ambaye Ukimtongoza Siku Hiyo Hiyo Anasikia Njaa, Hana Vocha, Siku Hiyo Hiyo Anaijua Saloon.
2023-01-11 09:13:20
3
jeslicios :
ndo maana waliambiwa waishi na sisi kwa akili 😂
2023-01-11 10:01:30
3
Win :
Kwanini jamniii kwanini umetoa siri yangu 🥺
2023-01-10 19:00:04
2
mimi👄 :
Dada fifi jaman umetoboa siri zetu zote yan umeacha moja tu😏😔
2023-01-11 08:51:58
2
Manka🇹🇿 :
Mwanamke ni yule ambaye akisema amenunuliwa wigi na mpenzi wake ujue limenunuliwa na mwanaume zaidi ya mmoja bila wenyewe kujua 😃
2023-01-10 13:05:58
2
babyeblove :
ni mim kabisa kwa story za kutunga ili nionew huruma😅😅😅uyoo ndo mwanamke mimi😂
2023-01-10 13:22:31
2
Dickson talemwa :
yan we mwanamke baati yako umeolewa ila ubalkiwe sana
2023-01-11 09:41:31
3
user8384338402294 :
umependeza dada
2023-01-11 14:31:22
2
Symplylista :
Omg am I normal??😳 am I mwanamke I’m worried of myself why I don have a backup plan?? Whoo😟
2023-01-12 06:28:02
3
rukaiya23_ :
Mwanamke Ana Tabia Ile Ya kutokubali kushindwa hata kama haoni njia ya kushindwa lkn ataendelea kusindana🥰
2023-01-11 23:35:25
3
🫶Pendo🥰 :
😂😂 sijapenda dada umenielezea sana😂🤣🙌
2023-01-12 06:24:52
3
hashimhashim5941 :
mwanamke n mama yangu
2023-03-26 18:46:54
3
Jo_Rusisye :
I love you Fiona🥰🥰😭😭😭
2023-01-10 19:55:45
2
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Azerbaijan in WW2 #ww2 #azerbaijan #sonanuriyeva #fyp
#qatar #doha #foryoupage #fyp
E400 Stagecoach #fyp #viral #e400
Paris Saint-Germain F.C. Ventures Into #NFTs And The #Metaverse #WatcherGuru
The Odyssey | #edit #christophernolan #theodyssey #odyssey #movies
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy