@theultimategorgeous: Replying to @Sisiha #stc #stcsaudi #kadamasaudia🇸🇦 #shagalalife #salary #moneytransfer #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyantiktok #nairobikenya #kenyansinsaudia🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪

The Ultimate Gorgeous
The Ultimate Gorgeous
Open In TikTok:
Region: SA
Saturday 28 January 2023 08:11:16 GMT
330417
7008
968
4373

Music

Download

Comments

user9172818411306
josi kamba totos :
na sasa akituma 900 itaingia ikiwa gapi mpesa dear
2023-03-23 23:02:15
4
kamape.wehu
kamape wehu :
Mimi wangu wananitumia kwa stc hio 900 alaf mim ndio natuma kwa bank hom aky nakatwa 23😩😩😩😩 huaga naskia vibaya
2023-01-28 13:49:52
3
sigmafemale02
SIGGY...F :
bank bado Ina transfer mpesa direct through MoneyGram na rate Iko poa kabisa. na pesa Ina hit immidiately
2023-01-28 12:50:07
8
mamushi48
mamushi48 :
hi dear I need your help coz nilifanya vile unasema bt nilifikia kwa money wallet na itaki kuendelea
2023-01-31 03:39:07
2
princeslutton
@strong lady :
mimi nataka ya kwa Empesa to bank equity niko na line ya bank na sijui vile nitatuma kutoka Empesa to bank plz dear
2023-01-30 10:35:28
2
rhoda740
Rhoda :
bona mm yangu ilikata 20riyal
2023-01-28 20:02:20
2
kylezawadi2
ZAWADI ❤️ :
aky c uongee na kiarabu ndyo boss wangu aelewe nmeonyesha but hashikanishi hata kidogo c unifanyie na kiarabu siz and tag me plz i beg you
2023-02-03 11:58:28
0
babyalaine1
lizzyalaine1🇰🇪🇧🇭 :
kulipwa na mpesa n very easy
2023-01-28 16:43:50
3
hannahmuchoki
hannahmuchoki :
kwani ndio umejua kitu imekuwa like 10yrs ago🤣🤣🤣
2023-01-28 12:23:00
1
dianahkabuti
Dianah kabuti :
na kama umeregister mpesa na I'd ya mzazi utaeka jina gani
2023-01-28 11:47:31
1
lilysmiles4
Lily smile :
siku hizii mpesaa iko kw bank unaekewaa kw simu yako within a minute though money gram hakuna process mingi ivoo
2023-01-28 14:57:19
5
simplelady3270
simple lady :
hi sasa hii process lazima ende bank ama he can do it online?
2023-01-28 11:41:26
9
nellishawanjiru
munjiru :
hey dear but I used it Jana n I wanted it to the back n yet I have not received dear advice plz
2024-09-06 03:19:21
0
bettii71
mushene mwega :
eh pia mm hutumiwa kwa mpesa
2023-01-28 09:03:11
2
user56076087752061
joy :
Hii pesa. Intake how long my dear
2023-04-03 21:35:37
2
daisyjohn15
nobody :
mbona hawa wangu anajifanya haelewi
2023-01-28 13:27:29
1
kabeiby4
Anita kabeiby :
Mm wananitumia kwa stc then najitumia kwa line yangu ya kenya...just simple
2023-01-28 11:53:48
1
s_onnie
muthoni :
hawa watu hua wanajifanya hawaelewi hii kitu...wanaogopa kulipa hiyo 23bob
2023-02-01 13:15:13
0
shilachepz1
❤️chirii 254🇰🇪🇰🇪🌹🌷 :
hi 👋,, alafu wakiniwekea pesa kwa m pesa itakua imepadiliswa ikue ya Kenya plz nijibu 🙏
2023-01-28 19:27:37
3
kabeiblove
💅👑 PURITY 💕💅 :
what about sending to the bank coz zangu walituma kwa bank na bado hazijafika
2023-01-28 20:56:52
0
5shikomaria
Maria's :
kuna delay na stc today au.kindly inform
2024-04-16 06:37:47
1
furahamwango
IRENE FURAHA :
dada bila laini ya huku
2023-01-28 16:27:31
1
yourplug4nailsdiani
yourplug4nailsdiani :
na simcard hairead network
2023-01-28 09:21:26
1
ombasa06
ombasa06 :
Mimi napewa cash naenda western union nitaesha tumiwa kwa mpesa
2023-01-28 14:17:35
1
To see more videos from user @theultimategorgeous, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About