@azamtvtz: Chama akapiga mpaka danadana #NBCPL #SimbaSingidaBS #Azamtvtz

AzamTV
AzamTV
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 03 February 2023 18:14:10 GMT
1268203
28680
185
4338

Music

Download

Comments

krrithick
Krrithick sambo :
basi Simba wakiwakuta wajinga wenzao wanaenjoy sana 😂😂
2023-02-04 06:11:28
7
paschal579
paschal579 :
kagere kawachoma wenzake kisa katokea simba
2023-02-04 07:50:21
1
mosesthomas566
mosesthomas313 :
mbona hapigagi kwenye mechi za wakubwa 🤣🤣🤣🤣🤣
2023-02-03 20:06:19
1
sarahbeauty398
sarah :
mnaonaje tukampa chama uraia w Tz
2023-02-04 05:49:44
10
edwincharles851
22kilongo :
😂😂😂 ana angalia tim ya kuichezea 2
2023-02-03 19:56:38
0
abdulhamidu10
ABDUL HAMIDU :
mimi nimwananchi ila kiukweli mmeupiga mwingi sana
2023-02-04 12:56:04
4
kashengjr
Yusuph :^) :
apige ivyo kwa Yanga
2023-02-03 23:16:39
2
suzy_joseph
user2224932204925 :
Macho yangu yanaona kama wewe au macho yako yanaona kama mimi 🤣🤣🤣🤣
2023-02-03 19:34:06
3
user9180385650390
frank :
kagere na yule kazadi wameongwa ela
2023-02-04 04:43:41
2
xolaniluthuli1804
Xolani :
he should come to Kaizer Chiefs
2023-02-04 05:47:01
4
stephanocastor
no 0782724210stephano :
Leo mmezingua sijuii mmekuwa Kama tanesco
2023-02-03 21:42:40
3
user7173586117981
user7173586117981 :
mpra anajua
2023-02-04 03:14:05
3
mumba111
Mumba shibukombe :
triple c Cletus chota chama Zambian football player
2023-02-04 07:13:28
3
user7173747473867
user7173747473867 :
uyo mwamba kweli kweli
2023-02-04 08:08:38
2
agnesslyimo505
agnesslyimo505 :
yaan simba leo walikuwa na mudi moja safiii
2023-02-04 07:37:48
2
yasxmartin
yasxmartin :
yessss
2023-02-04 05:58:40
2
official_killer17
Official_killer17 :
uyu chama ashtakiwe SAS kwa anachokifany
2023-02-04 05:29:19
2
chaluu352
Chaluu…👑 :
🥰🥰🥰🥰. Mwamba uyuap
2023-02-04 05:01:36
2
ishabebe501
ishabebe501 :
play station😂😂😂
2023-02-04 04:34:13
2
jackysamweli
user7496532919302 :
mweee manyoka wanaumia kishenzi wamewapa wadogo zao mbinu zenu zimegonga mwamba
2023-02-04 20:32:16
2
kassimabal
깊은 사랑 :
mwamba wa Lusaka
2023-02-04 11:29:34
1
rashidkadege
Rashid Kadege :
majamaa yamepigwa kama ngoma😂😂😂
2023-02-04 07:26:57
2
dathe_official
datheprince8 :
tupeni na goli 😂
2023-02-03 21:40:01
2
rock256vybz
🇺🇬THE ROCK 256🚧 :
Bwambale saaka
2023-02-04 07:11:03
2
user83327781433711
[email protected] :
chama mwamba wa Lusaka zambia
2023-02-04 09:37:25
1
To see more videos from user @azamtvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About