@madamemishyy: #yiktokers #motivational #motivation #tiktokindia #tanzaniatiktokers #tanzaniatiktok #tanzaniacomedy #usatiktokers

Madame mishyy
Madame mishyy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 08 February 2023 10:36:13 GMT
773817
19943
660
1528

Music

Download

Comments

waicy005
waicy005 :
samahani dada angu mpenz ivi ukiwa na mwanaume mkidate lazima mfanye mapenzi
2023-02-10 11:41:14
9
colloh_rado
sajora :
may be it's only in Tanzania huku Kenya Muda ndo hatuna kabisa kama hataki akae na uko
2023-02-08 20:39:23
59
user3845632731797
Mr254 wande :
wacha nisake pesa wanawake watajileta wenyewe
2023-02-11 06:35:48
21
azpro041
Azpro✨✅ :
Unanipa moyo nirudie kumtongoza aliye nikataa subili nikakiwashe
2026-09-26 22:43:54
1
haule850
litohaule :
Toka hapa
2023-02-08 20:03:51
14
jonessavimbi
BIGJOE 🇹🇿🇦🇪🇲🇿 :
Tatizo mnatukimbiza na mizinga ya vocha 🤣🤣
2023-02-08 23:48:30
7
jameslohay
James Tz :
Nimekuelewa sana sister samahani naomba kujua kwa. umemuomba namba Cku hiyo hiyo ukamtongoza na akakubali je atafaa kuwa mke si atakuwa mwepes kwa wot
2023-03-21 09:25:44
6
user1254111000126
Supreme gym :
Kenya noma kama uko na pesa ndio hvyo
2023-02-09 04:50:36
2
meshack.o
kariobangi zamalek academy :
kenya hatuna io masaa
2023-02-09 07:35:58
2
armaniereborn
Armarniemlanda-reborn :
Mambo ndio mengi masaa mchachee
2023-02-09 04:31:33
1
binrwabbah2_kenya
BIN RWABBAH 003 :
asante dada mkubwa😂😂
2023-02-08 20:15:04
2
user1617711747770
user1617711747770 :
nakubali sister
2023-02-09 04:42:54
1
micah.tz
hunter dax :
follow back
2023-02-09 14:08:27
1
mkanakamkanaka
Winnerleah :
Nataka Jambo langu nizunguke mara 5...🤣🤣🤣🤣
2023-02-08 18:03:35
1
hivenvfxboy
HIVEN vfxboy :
hiyo dadaangu kiukweli wanawake mko tofauti Kuna mwanamke anapenda anapo kupa namba umtongozage ukianzisha story zingine hakujibu sms
2023-02-09 21:24:18
5
biggie790
biggie :
kwan bado mnatongoza huku nje
2023-02-09 13:21:15
1
matunzozero001
Matunzo zero ✌️ :
kiongozi wasimama na chama Gani mwakani tukupe kura 😂😂😂
2023-02-08 21:51:50
1
skywalker2543
sky walker :
ati nifanye kama kibarua 😂😂
2023-02-08 20:12:14
2
omarymaya14
omarymaya :
xaxa nakupenda ww kubali Tukale diner peponi....🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2023-02-08 18:14:56
1
pugablash
Lucca tz :
Sanam lako linajegwa kigambon pale feli😂😂
2023-02-09 00:19:53
1
brianwasilwa1
Thee~~statististician :
mambo ni mengi masaa ni machache akikataa next....😅😅
2023-02-08 19:44:45
3
unyama8
user5062639008791 :
hapo dada angu mbona mm hadi sasa mwaka wa 5 hajakubali
2023-02-08 19:53:46
4
preciousmaluu
Precious Maluu :
muda ndo mchache dadaa...km tapenda tpendane tu...playing hard ilipitwa😂😂
2023-02-08 21:33:11
2
madeinmbeyabrand
madeinmbeyabrand :
MUULIZE MVUVI NAMNA YA KUVUA SAMAKI…USIMUULIZE SAMAKI NAMNA YA KUVUA SAMAKI 😁😁😁
2023-02-08 21:07:11
3
mujahedeen47
26 life :
hatuna mda kama anipendi mwache azeeke single
2023-02-09 06:18:32
3
To see more videos from user @madamemishyy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About