@fifisugar: Zingatia maisha yako achana na maisha ya watu#tiktoktanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 #fifisugarr #tiktokkenya #viral #fyp

Fiona Nkya
Fiona Nkya
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 February 2023 10:37:31 GMT
21976
1534
59
107

Music

Download

Comments

alexpaschal591
Alex Paschal Thomas :
yani we mwanamke una bahati sina pesa, ningekuwa na pesa za kukumudu ningekuoa kwa gharama YEYOTE... kuna faida kibao kuwa na mke anaejielewa
2023-02-11 10:48:41
2
___online__business__
__online__busines__ :
Na kweli dada
2023-02-11 16:07:57
1
restuta_geofrey
resty_ :
ninachokifurahia huku tiktok ni kila nikiingia nakutana na video zako yan nilikuwa sijiamn bt now najiamn na napata nguvu mpya 💪
2023-02-11 11:16:45
5
fridde37
@Anna🌹❤️ :
Mimi nashukuru nilikupata nikiwa early 20s,,,natumaini mafunzo yako yatanisaidia 🙏🙏 nakupenda san ❤️❤️
2023-02-11 17:29:51
2
merydimpoz
merioniz :
Me nishakuwekea ratiba ya kukufatilia wewe kwakwel🙌 ur in my timetable honey🤗😂
2023-02-11 11:43:45
2
perpetuallucas0
perpetuallucas950 :
kitu skiwez ni hii,ata mm staki nifatiliwe🙌
2023-02-11 11:12:39
5
fettykitonka
jyran :
kwakweli dada kunawatu hawawezi kudilinamaisha yao
2023-02-11 13:57:43
1
nutellah_1
Daisy Ney :
preachhh🙌🏽
2023-02-11 14:46:37
2
mamynil
Shadya ❣️💃 :
daaah unaelimisha sana mrembo🥰
2023-02-11 11:31:43
2
nicahh777
Shop with Nicahh :
Ndomaan wanachelew kufanikiwa
2023-02-11 11:05:19
2
iam_sureyya
🎀SUREY'YA🎀 :
hakuna kitu kinaua mood yako kama kufatilia maisha ya mtu unakufa unajiona hivihivi
2023-02-11 13:40:56
2
benniesharom
Bennie :
Fifi na izo nywele kweli mnalalaga vizuri
2023-02-11 15:15:08
1
user9438703954763
lutfiya M :
unaonge point sanaa
2023-02-11 15:53:45
2
datuu_98tz
BeeMzury💝🌹 :
haha..masaa 12 n machache kufokas na ya watu asee
2023-02-11 18:27:43
2
kylnfussy
kaylin89 :
NINAKUPENDA SANA ,NIVILE SIWEZI KUSHARE HIZI NDUDE 😂😂😂
2023-02-11 21:10:16
4
inclusivesoul_
Inclusive Soul ✨❤️ :
follow 🔙 dear please
2023-02-11 11:09:00
2
catherine.kahwili
Catherine kahwili :
fact my love ccy 🥰🥰🥰
2023-02-11 10:46:28
1
rosieflower111
rosieflower111 :
Nashangaaga,lkn sijaligi utasikia tu unadharau,kumbe wala upo na maisha yoko,mambo ni mengi ya kudeal nayo binafsi
2023-02-11 11:19:55
3
rosechi37
LA ROSE OUTFIT 👗🛍️ :
wewe waache watafute sisi tunatafuta pesa acha watuongelee
2023-02-12 19:25:48
1
iam_ammy178
iam_Ammy :
fact sis🥰🥰🥰
2023-02-11 10:43:07
1
nonybrands_tz
nonybrands_tz :
u r so gorgeous my sister i appreciate ur talkings. keep up the good work
2023-02-14 15:50:27
0
amblessed13
mbarikiwa 🙏 :
Fifi,yaani wapo my dear waambie...
2023-02-25 17:24:33
0
user678614201480
brown skin girl :
mi nashaanga kweli alafu ukiangalia ni watu wazima na familia zao wanafuatalia maisha ya mabinti wa miaka 20
2023-03-12 17:23:24
0
mnaash1
Blessed Assurance :
Mambo ni mengi masaa machahe focus is the key word da fifi 🥰🥰🥰
2023-02-11 11:22:56
0
To see more videos from user @fifisugar, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About