@davidayubusima: Hakuna mtu ambaye yuko busy kwa mtu ambaye anampenda Ukiona Mawasiliano yenu yanakuwa ni hafifu basi tambua kuwa ni dalili ya hatari kwenye mahusiano Unapaswa kuchukua hatua Full Video ya Somo lipo You Tube tayari DALILI ZA HATARI KWENYE MAHUSIANO by David Sima Nenda ukajifunze umshirikishe na mwenzako