@faidikatv: LAA HAULA WALAA QUWWATA ILLAA BILLAHIL ALIYYIL ADHEEM

Faidika tv
Faidika tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 26 February 2023 06:43:53 GMT
176024
3327
337
1598

Music

Download

Comments

officialsau47
official mamy Naa :
ostadh mpaka nililia kabla ya magharib amenitumia pesa yangu na alikuwa hapokeag cm zangu shukrani alinitafta mwenyew am so happy , Alhamndulilah
2023-02-28 11:06:49
15
nfwahirwa
nfwahirwa :
Shuqran jazzilah khery…inshallh Ameen..Mungu akujalie n ww pia mkono kwa mkono hadi peponi
2023-02-26 11:53:08
8
khamislilunguru
LILU CLASSIC WEAR :
daah naanza Leo inshallah Kuna mtu ananisumbua na pesa yang
2023-02-26 07:42:19
9
azizaassumanikasotictok
Aziza Assumani Kasongo :
kufanya zikri marangapi?
2023-02-26 09:46:47
2
hajiarcmwnj
Kirikuu :
mm hata nilimuachia Allah,sababu jasho la mtu haliliki.....🤲🤲🤲
2023-02-26 15:05:36
4
doviashke
# double kk :
mkristo nifanyaje?
2023-02-28 04:16:20
2
mamsekechah
𝑀𝒶𝓂𝒮𝑒𝓀𝑒𝐻𝑒𝓃𝓃𝒶, :
allhamdulillah jmn ostadh nmelipwa deni juz ten asubui na mapem allhamdulillah 🤲 🤲🤲 nmeamin Quran inatib jmn Alla akuzidishie
2023-05-10 20:05:48
1
daasophy
Daa sophy :
Aslam alaikum turuhusu tusave please
2023-02-27 13:59:31
2
khayrat0012
golden girl :
adika namba zako za sim ndo nijui nakutafuta vip
2023-12-21 20:35:08
1
phathushy112
mama hanie💙 :
please follow back mimi nko na shidaa please
2023-02-26 20:36:18
1
gabriellamwitumba
Gabriella Mwitumba :
ustadh na sis dhehebu nyingine tunasimamia kifungu kipi ili tulipwe madeni
2023-04-22 01:29:03
1
user8849120846197
user8849120846197 :
yan den lina miak miwil kasor😥
2023-02-26 15:40:35
1
1995mochisexy
Chubby♥♥🥰 :
Salam aleykum kaka samahn kaka mm sijui na shida gan ila moy wangu auna amani hat kidog yani ina kua kam una lipuka lip uka kila saa ni saidie kaka
2023-02-26 16:56:50
0
manalove413
mama love og :
mashaallah ahsante sana allah akujaalie afya na ridhiki ili tupate ighlim hii adhiim
2023-02-26 15:25:15
3
adelinayohana3
adelinayohana3 :
ostadhi nisaidie namimi kuna mdada nimefanya kazi miezi mitatu mpaka leo hanilipi na amenisahau naomba nisaidie
2023-06-23 11:20:13
0
faithfaith6305
faithfaith6305 :
asante broo mm nmukiristo but kunamutu namudai pesayangu nyingi sana ss ntafanyaje?
2023-02-26 20:13:23
1
iddbudu8
Official oppa 5 :
amiin
2023-02-26 07:21:40
2
officialsau47
official mamy Naa :
Assalamu alaikum warrahmatullah wabarakatuh ostadh shukrani sana nilisoma jana kweny adhana ya laasir kabla ya magharibi nimelipwa na alikuwa hapokei
2023-02-28 11:04:10
2
jacklinemulinge00
jacklinemulinge11 :
hii ni kwa waislaam peke yao au?
2023-03-14 05:52:34
3
bahja336
QUEEN OF DETACHMENT :
Imebidi nimekufollow....Nshadai mpka nshakata tamaa
2023-02-26 14:04:22
1
khayrat0012
golden girl :
shee uko sehem gani mim nataka udi ule unaouza 15
2023-12-19 09:32:42
1
therealbenadetha
Mama vee money :
Mimi nadaiwa na sitaki kulipa tena na bank nipe muongoze
2023-03-04 17:30:01
2
miniche30
Miniche :
asante sana kaka,naomba nikuurize kama unajini mahaba unaweza kufanya aje?
2023-02-26 08:36:26
3
mercyl33
mercyl33 :
mimi kuna mtu alinitapeli dawa ni gani
2023-03-20 21:16:19
2
minnah5767
minnah :
milion2 na nusu zangu😭😭
2023-03-11 19:23:57
0
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About