@faidikatv: Usikate tamaa jini mahaba anatibika fuata haya maelekezo bure kabisa na mepesi ujisaidie shukran

Faidika tv
Faidika tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 05 March 2023 14:26:36 GMT
429631
9888
713
3907

Music

Download

Comments

millu0077
millu XxT :
Shukran sana bro mimi naheshimu sana watu wanao tupa tiba. Inshallah mungu akufungulie inshallah.
2023-03-10 20:50:38
66
mwanaheri_56
Mwanaheri Habibu :
siku ngapi
2026-04-12 11:24:14
1
daemmy1
daemmy ♥️ :
Jana kaja kwa sura ya diamond ila wanambinu nying 😭😭
2023-03-12 10:14:33
33
janaty1234567
janat :
Imeandikwa wapi ATI tunafa kutumiya hizi dawa nataka kusoma mwenyewe
2023-03-08 10:06:19
3
tufankombo1
shilaa kombo :
Thanks my brother Allah bless mo for you 🙏 nitajitahidi kuitafuta mana nikama nimechaganyikwa mungu atulide na hawa wadudu niwabaya sana
2023-03-05 15:09:03
12
kulwashishi557
kulwashishi557 :
nimerud kutoa shukran Allah akubarik nimefanikiwa sijaamin walah dawa zipo
2024-03-14 08:41:30
15
kingfahad22z
fahad :
ww acha usenge wa kua unapotosha watu kila siku mbwa ww dini hujui kazi kupotosha tuu
2023-03-06 10:49:23
1
hajjaty79
hajjaty79 :
unapatikana dar sehem gan
2023-03-09 10:55:43
5
kunfidunyakaannakagharib
啊哎哈没得 :
Jini mahaba haondoki kW dawa atakaa pembenii tu kisha anarudi itaondoa athari zke tu lkn sio mwenyew
2023-03-08 12:10:31
6
arabiangirl426
Luwy💜 :
Mie ninae na nimezunguka sana miaka mwisho nimejitahid sana kujisomea mimi mwenyewe nimepata nafuu sivo kama nilivokuwa ila ni yupo
2023-03-07 11:54:25
6
4n_hh
AL3NZE 501 :
Allah ajaalie hizo dawa zifanye kaxi
2023-03-06 11:06:34
5
khalidynurdini
mzulu wa TZ,🇹🇿 :
nakubaliana nawewe shekh
2023-03-12 05:49:04
6
user5093340677758
user5093340677758 Aisha.KM :
kaka mm na dinywa kila karibia kila siku na niko Saudi Arabia sasa izo dawa sijui ntazipataje mana pia miaka inaisha hakuna chamana nnacho kifanya
2023-03-18 17:08:48
1
dbayo4
dorini :
kaka mi shida yangu nikopata mchumba anaondoka yaan ananiacha
2023-03-08 19:35:28
5
hajraynah24
user2685784747883738 :
wallah mi ni shuhuda wa hilii kwel kabisaaa saiv niko poa
2024-09-07 09:38:23
9
jamaloluwatosin1
jamal kekoa :
Kaka salam alikum jee izo dawa kwakizungu zaitwaje plz
2023-04-29 23:04:06
1
nashminawnassoro3
nashmina :
kuna mmoja amesema karafu maiti sio nzur
2023-03-05 17:19:46
2
millu0077
millu XxT :
Na mungu pia atakulipa zaidi walllahi
2023-03-10 21:39:23
13
n_twilight
N_twilight💕 :
hizo dawa naeza zipata wapi?
2023-03-23 00:39:04
1
moriumbegum29
moriumbegum369 :
shekh mm ninakitu kinatemba mgongoni ni. miaka m4
2023-04-18 19:01:26
1
zainabumakonya841
zainabumakonya841 :
Aisee mungu hakupe nguvu kaka me huyo ninae mpk nataka hta kufanana nae kabisa sina hta humu
2023-04-03 12:38:47
1
umulisa.couture
UMULISA COUTURE :
asant sana kaka
2023-03-08 03:26:03
2
halimamwisongo
Halima Mwisongo :
Wengine Kuna vitu vinatembea mwilini dawa yake nn naomba msaada
2023-04-09 16:45:45
1
darah044
darah044 :
Shukran. maana n Mtihan wallah. Mm nipo kpnd kgm mno na uyo jn mhba.
2023-03-15 16:55:09
1
marinnakhan0
marinnakhan :
Asallm allekum kak mim siijui iyo dua nifanyeje pls
2023-04-29 18:39:52
1
To see more videos from user @faidikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About