@mxcarter: Bukoba Say YE-YEI

MxCarter
MxCarter
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 March 2023 12:20:12 GMT
83964
1927
102
552

Music

Download

Comments

rafikicleanersarusha
RAFIKI CLEANERS ARUSHA :
Salama kasema siwezi kuwa Millard mimi acha nicheke mie 🤣🤣🤣🤣
2023-03-15 10:24:23
22
user1505359949527
user1505359949527 :
wahaya bana,kwa misifa😄😄😄
2023-03-15 09:07:03
13
bmtiga
Bahati Mtiga :
ni pabaya sana kwa kweli
2023-03-16 17:13:20
2
tategawaxab
Giddy :
Haters watabisha😂Sema wahaya hatupendi kujishusha😂😂
2023-03-15 07:34:56
4
neemabatraham
neemabatraham :
Bukoba kwenyewe sasa!! 😁😂😂😂
2023-03-15 12:03:38
4
user26999597779194
user2699959777919 :
mmmh wahaya kwa sifa kiboko, Ety Bukoba kama Brazil 🇧🇷
2023-03-16 17:13:52
2
stanthedoer
Stanlenard :
sasa kwann asigoogle bukoba kabisa
2023-03-17 07:23:36
2
adythereal
adythereal :
daah bi mkubwa kajipakulia minyama na bukoba yake.........😁😁😅😂
2023-03-14 22:38:25
3
_kizzie01
_Kizzie🤑🤑 :
Mm kama Muhaya naunga mkono maneno ya Bibi
2023-03-16 22:40:15
0
user18851300202
user18851300202 :
wahaya na misifa
2023-03-15 04:10:57
1
nascoba5
nascoba :
wahaya shikamoni🤣🤣 najua wapo jirani na zumaridi🙊
2023-03-17 14:07:52
2
datuu_98tz
BeeMzury💝🌹 :
muhaya n muhaya tuu😂😂 sa bukoba na Brazil jmn
2023-03-15 08:11:01
3
lizzymacha
lizzymacha :
Sio kweli
2023-03-15 17:45:07
1
user3522200135727
♥️♥️ :
bukoba ipi hiyo unayoiongelea we bibi
2023-03-17 19:39:08
1
natonback
Selah! :
hivi hata bus terminal wanayo?
2023-03-17 06:09:12
1
mwambafix
Mwambafix :
daaah 😂😂😂 Rio 😳😳
2023-03-14 12:30:11
1
user6907176987794
iam_Jethan :
muulize huyo muhaya kama ameoleeaa😅
2024-09-15 23:06:49
0
duniaduniani
Dunia🌎Duniani :
Muhaya ni muhaya 😂😂😂😂
2023-03-15 08:31:15
0
matthews_nkondola
Matt J.😎 :
😂😂😂😂 ka Reo de janeiro kadogo 😂😂
2023-03-19 19:29:56
0
user95772546153353
Ndanda boy 3 :
Hapana Bukoba bado maskini hakuja jengwa kama wanavo jisifia stend ya mabasi ukiiona sasa😂
2025-09-11 08:49:59
0
abelnsomba5
Abel nsomba :
tulio Google tujuane😂😂 rio de janero vs bukoba
2025-08-18 19:18:12
0
ijumbaaa
Jàc :
anna tibaijuka
2024-03-24 11:38:01
0
kivunjabei
kivunjabei :
ni pazuri kwa maana ya mazingira, ila ni pa kifala sana, bi mkubwa kaxingua..Rio di Janeiro hapajui
2024-09-17 20:38:35
0
pasikazia
cody_sk 01@ :
kalibu sana mji wa hewa safi
2023-03-22 17:43:18
0
rafikicleanersarusha
RAFIKI CLEANERS ARUSHA :
Salama angemuhoji zumaridi sijui ingekuaje 😂😂😂🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2023-03-15 10:25:25
0
To see more videos from user @mxcarter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About