@silent_ocean_ltd: ๐ฆ๐๐๐๐ก๐ง ๐ข๐๐๐๐ก ๐ฅ๐๐ ๐๐๐๐๐ก ๐๐จ๐ฃ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฏ ๐ ๐จ๐ ๐๐๐๐๐ก๐๐๐๐๐?! Rasmi sasa tumefungua mashindano ya ๐ฅ๐๐ ๐๐๐๐๐ก ๐๐จ๐ฃ ๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฏ. Mashindano yatafanyika uwanja wa JK Park (Kidongo Chekundu) na kurushwa live (mubashara) na AzamTV. Kwa maelezo na fomu za usajili wa timu, tafadhali fika makao makuu ya ofisi zetu LUMUMBA & UDOE street. #silentoceanramadhancup #19yearsexperience #simbawabahari