Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@newlive.entertainment: #menghujamjantungku #tompi live at #jakartaconcertweek2023 #jakartaconcertweek #newliveentertainment #newliveexperience
New Live Entertainment
Open In TikTok:
Region: ID
Sunday 19 March 2023 14:39:49 GMT
26513
372
1
51
Music
Download
No Watermark .mp4 (
4.48MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
22.24MB
)
Watermark .mp4 (
3.47MB
)
Music .mp3
Comments
bb :
di lagu ini ka tompi asik banget!!!!
2023-03-23 15:20:43
0
To see more videos from user @newlive.entertainment, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#4u #bismillahfypシ #masukberanda #bahanswmu #xyzbca #fypシ゚viral
Membalas @fariki_riki yok gas praktek#fyp #magelang24jam
asal km cukup 1 cowo semua aku iyakan🤪
Replying to @millicen.t NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15 MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA SAA LA KUMI NA MBILI ( SAA 9 USIKU) (Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi na kidonda Katika Paji la uso wake Hadi kifo chake mwaka 1457) Ee Mungu chemichemi, huruma na msamaha ulimteua Mtumishi wako Rita wa Kashia ili awe mwombezi wa wote walio katika mahangaiko MAKUBWA. Nakuomba kwa maombezi yake yenye nguvu, neema ya kuondokana na shida hii KUBWA 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 *( hapa taja shida yako )* 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 Bila maombezi yako Ee Mt Rita, siwezi kujinasua na shida hii KUBWA. Nakusihi uniombee kwa machozi yasiyokoma mbele ya Altare ya Mungu huko Mbinguni Mungu hakukatalii wewe kitu chochote kwani wewe ni Mtakatifu na mwombezi wa yote yaliyoshindikana kwa akili za kibinadamu. Kwa njia ya Kristo Bwana wetu. Amina. Baba yetu x 3 Salamu Maria x 3 Atukuzwe x 3 *LITANIA KWA MTAKATIFU RITHA WA KASHIA* ------------------- Bwana Utuhurumie, Kristo Utuhurumie, Bwana Utuhurumie, ----------------------------------- *Kiitikio *"Utuhurumie"* Baba wa Mbinguni, Mungu, Mwana Mkombozi wa Dunia,Mungu, Roho Mtakatifu, Mungu, Utatu Mtakatifu, Mungu Mmoja, ------------------- *Kiitikio* “Utuombee"* Maria Imakulata Mama wa Mungu Maria, Mama mfariji wa wanaoteseka Maria, Malkia wa Watakatifu wote Maria, Mwombezi mpenzi wa Mt Rita ------------------- *Kiitikio* “Utuombee"* Mt Rita, Zawadi toka Mbinguni: Mt Rita, Mwombezi wetu mwenye nguvu: Mt Rita, uliyejaliwa Utukufu: Mt Rita, mstaajabiwa tangu utoto wako: Mt Rita, mpenda upweke: Mt Rita, Kielelezo cha usafi wa moyo: Mt Rita, kielelezo cha upole wote: Mt Rita, kielelezo cha mke mwema: Mt Rita, kielelezo bora cha mama mtaratibu: Mt Rita, kielelezo cha msamaha wa kweli: Mt Rita, kielelezo hai cha kujikatalia: Mt Rita, kioo cha maisha ya kitawa: Mt Rita, kioo cha utii; Mt Rita, mvumilivu wa kustajabiwa; Mt Rita, shujaa wa kujitoa sadaka; Mt Rita, shahidi katika kufanya toba Mt Rita, mjane mtakatifu; Mt Rita, mkarimu kwa masikini; Mt Rita, mkarimu kwa masikini; Mt Rita, mkereketwa wa kuitikia wito mtakatifu; Mt Rita, aliyeingizwa utawani kimuujiza; Mt Rita, harufu nzuri ya manemane; Mt Rita, bustani ya kila fadhila; Mt Rita, mpendezwa na Yesu Msulubiwa; Mt Rita, uliyechomwa na mwiba kwenye paji la uso; Mt Rita, binti mpendevu wa Bikira Maria; Mt Rita, mwenye kiu ya upendo wa Kimungu; Mt Rita, uliyevikwa utukufu; Mt Rita, lulu ya mbinguni; Mt Rita, utukufu wa shirika la Mt Augustino; Mt Rita, tunu ya thamani ya Umbria; Mt Rita, mwenye nguvu za utakatifu; Mt Rita, msamaha wa wanaopata mahangaiko; Mt Rita, mfariji wa wanaoteseka; Mt Rita, nanga ya wokovu; Mt Rita, mwombezi wa wagonjwa; Mt Rita, mwombezi wa mambo yaliyoshindikana; Mt Rita, kimbilio la walio hatarini; Mt Rita, msaada wenye nguvu kwa wote; Mt Rita, mastaajabio ya ulimwengu; Mt Rita, uliyepokewa mbinguni kwa furaha; ------------------- Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, *"Utusamehe Bwana"* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia, *"Utusikilize Bwana"* Mwanakondoo wa Mungu uondoae dhambi za dunia *"Utuhurumie"* ------------------- *K:* Umemtia alama Ee Bwana mtumishi wako Rita *W:* Kwa mhuli wa upendo na mateso *TUOMBE*: Ee Mungu , ambaye katika wema wako wa daima, umependa kusikiliza maombezi ya mtumishi wako Rita. Utujalie kupitia maombezi yake, yale ambayo yameshindikana kwa nguvu za kibinadamu. Utuhurumie sisi tunaoteseka, uwasaidie wote wasiokuamini wajue kuwa wewe ni tuzo la wanyenyekevu, mfariji wa wote wenye hofu, na nguvu ya wanyonge. Tunaomba hayo kwa njia ya Kristu Bwana wetu. Amina ------------------ 🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐🛐 Kila baada ya kusali novena ya kila saa , tunasali litania hii kwa saa zote 15 #jimbo #trending #God #fyn #catholicsoftiktok #christiantiktok #romancatholic #gospelmusic #tiktok #gospelchallenge #catholicsoftiktok #catholic #catholic #viral #tiktokafrique🇹🇬🇨🇩🇨🇮🇧🇯🇬🇦🇨🇲🇬🇦 #gospelmusic #ekaristikatolik #
Dejen disfruta a los solteros 🤣#Tierratragame #humor
About
Robot
Legal
Privacy Policy