@brandyc0704: Hello dears! Jifunze tena jinsi ya kuhifadhi mchele muda mrefu💃💃

Brandy F
Brandy F
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 04 April 2023 12:45:40 GMT
22145
997
53
35

Music

Download

Comments

dolikassaymon
user2898236817749 :
Waooo asante nilikuwa sijui 🙏
2023-04-06 09:02:26
1
machembajr
Machembajr :
Unavyo uelezea umefanya niupende mchele😂😂
2023-04-08 09:44:45
3
user7344202066525
mrs Tz🥰 :
asant 🥰
2024-05-31 07:50:35
0
shuuoscar
shuu oscar :
asante my dear
2023-04-05 21:25:39
1
maggiembilinyi
Maggie :
naomba na hiyo ya UNGA dear
2023-04-06 13:35:09
0
salmakhalfa1
salmakhalfa369 :
asanteeee
2023-04-08 14:33:54
0
user2114956743131
♒️♒️ :
vipi unga
2023-04-07 18:22:07
0
divana2026
DIVANA🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
Mimi naweka tu Pilipili nzima unakaa muda mrefu na unga pia nafanya hivyo hivyo
2023-04-05 19:46:52
0
happynessjovitha
Happyness Jovitha :
😂😁😂😁kwa hali hii kuna mchele wa kuweka mpaka uoze lakini wenzetu tuambieni siri zenu za maisha
2023-04-05 18:43:14
0
johnkitiri
Faru JOHN 🦏 :
Nikae na mchele siku zote hizo kwan mm ni mwanamke nakula mara4 kwa siku 😂
2023-04-05 13:48:02
1
familyroyal2
muu :
wadudu... wadudu... wadudu
2023-04-07 21:40:42
0
mazambaaaaa
wjat :
ur voice🥰🥰
2023-04-13 08:21:56
1
kulthum1703
@𝒖𝒎𝒎𝒚_73 :
jah bless you mamy mana watu wa hostel tunajua tunayopia umenipa suluhisho🥰🥰
2023-04-05 00:08:10
0
johaiven077
Johaiven077 :
na kwenye unga wa dona je?
2023-04-14 15:13:31
0
mukundejane
Mukunde Jane :
karafuu mim siijui
2023-04-18 21:59:35
0
msangel186
Ansa :
Asante ndugu yangu 😂😂😂
2023-04-05 20:23:34
1
kijikojr
KIJIKO JR. :
nikuoe basi na wewe
2023-04-07 12:50:14
0
maggiembilinyi
Maggie :
waooo Asante dear
2023-04-06 13:34:28
0
hoseakayumbo
hoseakayumbo :
yaani video hii ndo nimeona Leo wakati tayarii Mchele wangu wote umeingia wadudu weusii wengii😭🥺halafu ni mwingi daaah yaaani Hadi hamu ya kula imekataa
2026-08-14 17:26:06
0
dosihamud
dosi hamud :
Asante mwaya
2023-04-05 19:45:13
0
mwamvitawandi
Mwamvita Wandi :
thank you mamy 😘🙏
2023-04-16 22:02:14
0
patrick71930
Patrick Eduardo :
🙌
2023-04-04 19:27:42
0
useremmylau6943192557361
emmiliciouz :
sawa bi dada axntee kw darsa
2023-04-18 06:52:01
1
sweet_madeko
the_treasury_bedroom :
Mpk nimeacha kununua mchele mwing nanunua kilo kilo wacha nikanunue kilo 10 zangu leo asante baby gal
2023-04-07 06:31:57
0
engineer_eyn
Manwell :
njia nyingne unaweka mafuta ya kula kidogo unachanganya na mchele wako
2023-04-10 10:43:55
2
To see more videos from user @brandyc0704, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About