doctor nina mimba ya miez miwil lkn miguu inakoxa nguv mara kwa mara na nachoka xana nifanye nn ili nikae saw
2025-12-31 08:41:19
0
Lizzy Calistus :
doctor mimi natema sana mate hadi naishiwa nguvu mailing pia natapika
2024-03-13 11:27:53
1
lee lee lee :
nikitumia tangawizi Dr presha inapandaa sana
2023-05-05 15:32:40
0
mathna :
hamna dawa hamna chochote kinachozuia ikifika mda mm nahisi inaacha wenyewe
2023-05-03 16:13:35
1
monene :
Dr he ukiongeza na asali mbichi kidogo si ndiyo inakuwa pouwa kabisa?
2023-05-09 15:53:14
1
Lucy 97 :
mimi doctor mate yanajaa sana mdogoni yani sinaamani kabsa
2023-05-20 17:52:26
1
habibakisuju :
doctor mimi sipati usingizi nakua macho adi saa9 usiku adi affair ndio napata usingizi, mimba muezi6
2023-06-19 23:41:01
1
salma 255🇹🇿💯 :
je ukinywa tangawizi na limao inamazara
2023-05-05 21:06:57
0
user6845388237562 :
mm nimetumia hii mwanzo mwisho imenisaidia sana.
2023-10-29 19:07:27
0
mrking47965 :
dokta tumbo kubwa kupita kiasi unaweza kuzuia vp
2023-05-16 09:04:30
0
asmah🕊️ :
nakuomba unisaidie n kitugani kinasababisha mtu usipumue vizur
2024-04-01 07:44:14
0
user3205184461003 :
mbona mm napenda saana tangawizi lakin nakua na kichefuchefu mpaka miezi 6 siumwi nakuwa na nguvu ila nakuja na kutema mateeee.
2023-05-15 09:41:13
0
asmah🕊️ :
mm natatzo sipumui vizur
2024-04-01 07:43:14
0
beautiful shop ❤️❤️ :
kaka samahan nik nje ya MADA naomba kujua mtoto wangu anatapik na kuhar nimeenda hospital hana malelia ila hakujisadia hatukupima haja hatak hata kula ana mika miwili na miez miwili
2026-06-29 17:15:25
0
𝑻𝒆𝒇𝒂✌🏻🇪🇬🇦🇪 :
🥰🥰
2023-05-03 11:33:14
1
Leonie Kangabe :
🥰🥰🥰
2023-05-03 16:59:34
1
Lisa Reagan manase :
🥰
2025-12-07 05:37:51
0
$çöög vōñ Dīrëd📞 :
😁
2025-11-03 20:26:54
0
Amy cuty❤️ :
❤
2026-02-01 08:00:04
0
Rehema Mussa :
@
2023-05-13 13:48:53
0
maryam mohamed ally :
mi nna u.... wa miezi miwili, lakini siwez kula ndimu na wala vitu vichachu, nikinywa chochote kichachu mate yananijaa, itakua ni tatzo au vp,
2023-05-15 11:53:55
0
Bilhah Bilies :
mimi heartburn inaniumiza sana
2023-05-06 14:02:29
0
To see more videos from user @mgemaaa, please go to the Tikwm
homepage.