@michael_elidicks: Mbwana Samatta maana halisi ya mpambanaji Yes yeye ni champion. ukiangalia safari yake kwenye soka hakika utampongeza kwa kuwa ni mchezaji pekee Kutoka TANZANIA ambae amecheza kwenye Vilabu vyenye majina makubwa na shindani kwenye ligi za nchi zao. kuanzia Simba ,Tp Mazembe ,KRC Genk,Aston villa,Fernabahce Royal antewerp. #OurOwnChampion