@.cayzzer: Replying to @user5726563074352 Jinsi ya kuzuia pop up message #foryou #fypシ #fyp #viral #techinswahili #swahilitech #cayzzer #foryoupage #tanzaniantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪

cayzzer
cayzzer
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 03 May 2023 19:55:29 GMT
74852
1106
108
106

Music

Download

Comments

vee40911
vee# :
naomba nielekeze jinsi ya kumtoa mtu uliemuunganisha call zake
2025-07-02 18:54:23
1
user83175961714063
hafsa :
kwani kaka huna number ya simu?ninashida binafsi tafadhali
2023-05-04 10:07:03
1
thankyougod357
I'M CHILD OF GOD🇧🇮🇨🇦 :
mimi nielekeze kwenye whatsapp
2023-11-04 00:26:40
1
selinawilison
happy :
nielekeze jins ya kununua data Kwa fb
2023-05-05 13:31:05
1
mwanaharusiyusuph
ukhty mwana :
NAOMBA NIELEKEZE KUTOA WARNING ⚠️TIKTOK
2023-05-06 09:03:16
1
user5222874127939
shemshine :
jmn mm naomba unielekeze nikitaka pia txt za what's up nazo zisionekane juu zikiingia wala imo
2023-05-04 21:22:22
0
ashurakilewa
queen shuu :
mbona cm yangu haina huo mpangilio
2023-05-06 18:45:46
1
mindyouronbussiness1
mindyouronbussiness :
mm naomba unisaidie jizi yskufuta message Kwa CMU Kwa whasp please nafutaga mojamoja
2023-05-03 22:56:46
1
user6823837722101
asia :
mi meseji zina ingia bila mlio
2023-05-06 17:31:57
1
luchadoh__
✟ 🅓 🅐 🅐 🅧 ✟ :
nielekeze kufungua nomber iliyo banned whatsapp
2023-05-14 22:03:14
1
1256linda
I'TS LINDA :
tafathali nielekeze namna ya msg ikiigia wastup isionekane pale juu
2023-05-04 09:50:41
0
shaly116
shally💙 :
bro mimi nataka unisaidie jinsi yakurudisha msg zilizo futwa
2023-05-05 14:55:07
0
mm259878
dawaa :
m nielekez yaan hap ninapochatiy ikae pich
2023-05-06 14:10:11
1
makatheboy5
young man :
Naomba unielekeze namna ya kupost picha tiktok ioneka vzr maan mm nkipost picha yaan inaonekana vibaya san cjajua shida nn
2023-05-03 21:24:38
1
mrvibes038
MrVibes@77 :
nataka app ya kupata wi fe paswed
2023-05-13 14:44:15
1
scola.nuly
mama kijana :
kaka nisaidie kamela.imegoma apigi
2023-05-05 11:38:31
1
user9142044717543
user9142044717543 :
kukandamiza n VP broo🇰🇪🇰🇪
2023-05-04 10:06:14
1
user8118179284013h
warda :
mm natak ikiingia iskike to lakin isisomeke ionyeshe kibox to ch sms nikitk kuisom hd nitoe password
2024-02-28 04:10:47
1
userlengambali
lenga mbali :
naomba kuapta cod za kuapata sms za mtu mwingne
2024-07-23 05:13:44
0
happy48876
happy :
naomba unisaidie messenger yangu nikituma sms haziendi na mtu yupo online ila nikitumiwa Mimi zinafika
2024-07-06 07:01:17
0
ummh_sud
Ummuh sudais :
mbna sms zinaingia bila saut
2025-05-13 09:36:33
0
rosejohnmaro
Mamy Boys :
naomba unielekeze jinsi ya kurudisha message couter kwenye simu ndogo nokia 105
2024-12-17 07:40:46
0
shakilaissa713
shakira@issa🫶🌺 :
mbn cm ya ZTE sion
2024-11-20 10:33:41
0
salmakizota1
salima kizota :
mimi hata hiyo msg sizioni nashtuka tu zimeingia
2025-06-03 04:28:04
0
margaretfjpzqvk2eu1
follow back :
nishow WhatsApp kuchaa haraka na simu kujaa
2023-05-03 20:34:02
0
To see more videos from user @.cayzzer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About