@foodloverstz: Tutengeneze hii smoothie tamu. ✔ kama unataka mtoto again uzito kwa uharaka mpe hii glass moja kila siku ✔ Kama unataka kumchangamsha mwenza wako wa kiume mpatie hii pia mara moja moja 😁 ✔ kama unapenda tu vitu vitamu basi jiandalie pia mara moja moja usuuze moyo. Usajili wa Darasa letu la perfect Sambusa Masterclass bado unaendelea.... Ada ya kujiunga ni Tsh.10,000/= mafunzo ya siku 7 🔸 Lipia 📲 0717 717836 ( Tigopesa-Emiliana ) kisha tuma msg WhatsApp.
foodlovers.tz
Region: TZ
Thursday 04 May 2023 08:58:47 GMT
Music
Download
Comments
foodlovers.tz :
Maziwa yaliyotumika tayari yamechemshwa yaka poa sio maziwa mabichi .
2023-05-04 08:59:51
39
MWAMERICA 🇺🇲 🇺🇲 💞 💞 :
hii uwa natengeneza alafu nikinywa nalegea adi nashangaa
2023-05-04 09:25:40
5
seth_goodluck :
Waooo kilasiku unzidi kuwa bora kushinda jana hongera sana dada angu🥰 nikiingia huku wakwaza kukuta ni wewe tuu😅
2023-05-04 09:17:51
5
luchapa 😎 :
nilinunua hii ilinishinda haki ina harufu mbaya😂
2023-05-05 21:33:59
8
anethdaud2 :
kama situmii maziwa naweka nn mpenz
2023-05-04 14:47:10
5
Mamuchuma❤️ :
karanga n mbichi au zimekaangwa
2023-05-04 15:08:01
6
user3498579336288 :
dada mbona nasikia tende sio nzuri kwa wajawazito ,,samahn lkn naomb kujuzwa
2023-05-04 20:39:27
5
jeffmobs :
nitapataje hyo brenda
2023-05-04 14:45:36
2
Chief :
Kama wewe ni bachelor usijaribu hii... Utajiumiza bure.. 😁
2023-05-04 17:07:03
5
Vincent Okelo :
najaribu leo
2023-05-04 09:19:01
2
user1263440784379 :
safi
2023-05-04 12:58:09
2
Flomax-official12♐️ :
waambie pia kama huna mtu joto iko apo utalipuka bure 😅
2023-05-04 13:28:20
3
man alone :
kuongezaje uzito yaan uzito wa mwili au
2023-05-04 11:28:56
4
Rodrygo's 0 :
lita 5 unatumia maziwa kiasi gani na tende packt ngapi
2026-04-23 20:29:54
1
Winnie :
Asante
2023-05-04 20:58:50
4
Sheistiffah196 :
woow ntajarubu hii
2023-05-05 04:05:32
2
user2793994933269lau kosa :
ukiweka mtindi je
2023-05-04 13:58:18
2
angazaM :
woooh I like it
2023-05-04 15:18:40
3
Mona lv :
DADA Naomba unfundishe kutengeneza juice ya ukwaju plz
2023-05-04 09:45:02
2
mrinajunior :
naomba namba brenda napataje
2023-05-04 11:22:53
2
Ibrahim Kamaumwangi :
very healthy..
2023-05-04 13:30:35
3
Silvia Ngaiza :
maziwa mtindi yanafaa Maana fresh mm situmii
2023-05-11 19:41:11
1
modesterhozza :
hii kitu tamu sana
2023-05-05 13:31:29
3
Bahati Mangu🌻🌻 :
hicho kibrenda ntakiptje
2023-05-04 09:23:50
1
Vivy🌸 :
Kwa mtu mjamzito inasaidia nn
2023-05-04 09:28:46
2
To see more videos from user @foodloverstz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.