@izzudin_dawaah: TIBA YA HASAD NI SWADAQA, SWADAQA HUEPUSHA MAMBO MENGI KATIKA MAISHA YA MWANADAMU. . . #izudinmawaidha #islamic_video #muslim #mawaidhayenyemanufaa #izudinalwayahmed
MAWAIDHA YA IZZUDIN ALWY
Region: QA
Wednesday 10 May 2023 06:16:38 GMT
Music
Download
Comments
~DEE~ :
* Laa ilaha illa anta subhanaka ini kuntu Mina dhwalimin ×41
* surah Al-fatiha ×41
* ayat kursi ×7
* surah falaq ×7
* surah Nas ×7
2023-05-10 14:56:56
91
Marie The Massuse :
Hiyo surah ya kwanza ni gani can someone please write it for me
2023-05-10 14:00:10
2
swabahabamtraf1 :
Mm na family yngu tuna hasad kila tufanyalo haliwi
2023-05-11 17:32:33
2
Chim :
Shukran
2023-05-10 10:46:15
2
Eisher chakwe :
je ostadh kama huna maji ya mvua nao natumia maji gan
2023-05-14 14:49:27
4
khadijamandia :
Shukrani
2023-06-25 01:22:24
2
Simba :
Sasa huko kulalia pesa ndio kumaanisha nini ustadh
2023-05-10 10:59:01
9
Mimi documents :
naomba unifahamishe sheikh plz
2023-05-10 15:26:35
3
Alkhamys :
ulalie pesa?
2023-05-10 18:12:49
6
Al_kharus Boutique💙 :
masha Allah shukran sana sheikh
2023-05-14 17:23:58
2
bint Mohammed :
Nikilalia pesa nikimalisa niweke wapi
2023-05-10 21:35:49
2
kudra wanjara :
hizo pesa ulizozilalia unazifanyaje?
2023-05-12 21:28:18
3
user8450237347766 :
mimi nipo Oman huku mvua hainyeshi au na maji yakawaida sawa?
2023-05-10 16:50:00
2
hlonby0005mor001 :
asnte sana msha alah
2023-05-10 19:58:24
2
salmasung :
a alaykum, samahani baada ya kuilalia hiyo Pesa naifanyaje??
2023-06-01 04:57:18
2
Mohamedsophia211 :
Assalam Aleikum nauliza hivi unaogea after kujiosha na sabuni
2023-06-10 20:12:34
1
margaretmbotela :
Salam alaikum warahmatullahi wabarakatu nauliza kama hujuwi kusoma hizo sura zingine itakuwaje naomba jibu tafathali😥😥😥
2023-05-10 14:19:44
1
abdiazizhilo :
Happy kwa kulalia pesa ipo dalilo
2023-05-10 16:52:41
1
nora0052 :
Mashaallah shukran
2023-05-10 09:41:46
2
Shazmin :
kama hakuna maji ya mvua ni fanyeje
2023-05-11 04:29:28
1
Rajiv sharifu :
naombanamba yako shekhe
2023-06-14 11:54:26
2
queen :
shukran
2023-06-22 18:41:00
2
darah044 :
Assalaam Alaykum ! Shukran.
2023-06-18 07:30:28
2
Daa sophy :
Nakama mtoto mwenye wataka kumsomea hayuko karibu na wewe je yaezekana
2023-05-11 15:37:04
2
Bk :
sijaelewa kulalia pesa kivp
2023-05-30 07:18:19
1
To see more videos from user @izzudin_dawaah, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.