@bfsumatz_: *ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)* {HERBAL PRODUCT} *0% chemical* Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa kwa viambata asilia. Hii imetengenezwa kwa kutumia technology ya hali ya juu Sana ili kupambana na matatizo sugu ya ngozi. *INGREDIENTS (VIAMBATA)* 1..Wild honey 2..Green Tea 3..Grape fruit. 4..Lisa *KAZI KUU ZINAZOFANYWA NA ANATIC SOAP* 1.Hupambana na mzee na kuondoa makunyanzi usoni/ngozi. Pia hutibu na kutokomeza chunusi sugu na madoadoa 2.Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na muonekano nadhifu 3.Huondoa mapunye,chunusi,na mafuta yaliyozidi kwenye ngozi. 4.Inavuta uchafu uliopo ndani ya ngozi,pamoja na uchafu unaosababisha chunusi na mapele. 5..Inaondoa *madoadoa yatokanayo na chunusi sugu/makovu sugu* kwenye ngozi. 6..Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hivyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo 7...Inazibua(inafungua) njia za jasho kwenye vinyweleo hivyo kudhibiti tatizo la harufu mbaya ya mwili. 8...Inatibu vidonda vya kuungua, jeraha, na vidonda vya kisukari 9..Inaua vijidudu (bacteria) wa kinywa,fangasi, upele, Harara, MBA na mapunye. 10..Inatumika kama mafuta ya kupaka pia ili kulainisha ngozi na kufanya ngozi KUWA laini na ya kung'aa. 11..Inatunza ngozi ya mtoto mdogo na kukinga mambukizi Kwa MAGONJWA YOYOTE ya ngozi. Fika ofisini maana kila mkoa tuna ofisi zetu. Au wasiliana nasi kwa 0676831949 #0676831949

Bfsuma Tanzania 🇹🇿
Bfsuma Tanzania 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 23 May 2023 15:05:41 GMT
9884
67
5
29

Music

Download

Comments

user6141101743562
light#@..56 :
hello
2024-06-10 17:05:26
1
user6141101743562
light#@..56 :
napataje
2024-06-11 05:23:03
1
miss.j3254
miss J :
😘
2025-09-30 20:12:30
1
To see more videos from user @bfsumatz_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About