@justine_godwin: 👊Usikate tamaa watu wapo wanakutazama na ukifanikiwa wapo watakao furahi kwa kusema "daahh nilikuwa namfahamu yule jamaa" na kama mna picha ya pamoja atawaonyesha ili waamini. usisubili kuambiwa HONGERA we endelea kukaza hujui umepangiwa siku gani. Na ukijiona unataka kukata tamaa usisahau iko familia itakutegemea miaka kadhaa mbele waandalie maisha. jiepushe na starehe za hapa na pale coz siku ukikosa utaanza kujilaumu kwa kusema ile siku bora ninge save kidogo. 🥰yakikushinda zaid lia huku umeinamisha kichwa ukiinuka unatabasamu na mapambano yanaendelea #justinegodwin #fyp