@ramo_na_watoto: 😭😭 Najua umekuwa ukihangaika sana na umetumia dawa nyingi mnoh kuweza kupata ujauzito, lakini unasmbulia kuingia hedhi licha ya kuwa unakuwa na matumaini ya kupata ujauzito kutokana na imani yako kubwa kwenye dawa unazopewa Kumbuka mimba huingia siku moja na kwa bao moja, ila ni muhimu sana kufahamu kuwa hupaswi kukata tamaa kwakuwa umejaribu mara moja na hujapata Kama wewe ni mhanga katika hilo na unauhitaji wa kubeba ujauzito ndani ya muda mfupi uliobakia basi wasiliana nasi kwaajili ya dose ya uzazi ya uhakika kutoka Ramo na watoto +255 712 286 686 #fypシ #ramonawatoto #tanzania #saudiarabia #daressalaam #zanzibartiktok #foryoupage