@niffer_cosmetics: Goodmorng family Good news Kama tuvafoham @officialalikiba pamoja @samagoal77 wana foundations yao inayojulikana kama @samakibafoundation Amabayo sasa imeandaa match siku ya tar 21/06/2023 na lengo la match hii ni kupata fedha ambayo itaenda kusaidia watoto njiti (wanaozaliwa kabla ya muda wao wa kuzali) ili waweze kuishi Namna ya kuchangia ni kwa wewe kununua jezi tu Na jezi izo zinaptikana dukani kwa elf 45000/= tzsh tu Naombeni tuwe na moyo wa kutoa sadaka hii ili kuweza kuwasaidia watoto hawa wenye uhitaji na Mungu atatubariki Tupigie 0752197691 Mwananyamala A Karibuni sana
Niffer_cosmetics
Region: TZ
Friday 09 June 2023 07:18:41 GMT
Music
Download
Comments
Aaliiiyah jojo :
Is that Alikiba or my eyes have problem😂😂😂😂
2023-06-09 13:31:28
185
Sarah :
vyovyote watakavyosema my niffer don't worry life is toooo short enjoy💕💕💕💕💕💕💕💕💕😘😘😘😘😘😘😘😘😘
2023-06-09 12:38:15
53
Baba Nusrat :
mnatombana nyie😂
2023-06-09 10:48:11
355
🎀NANA LUXE🎀 :
who is here 2026 and imekuwaje😅
2026-08-30 04:17:12
5
sumaria254 :
Kwan uyu niffer ndo jeniffer wa anko JJ ama mm nko nyuma na sekunde😩
2025-11-07 23:11:18
135
Angel 🧸🥀 :
nimeangalia mara 10××😂😂🥰🥰🥰❤i love this
2023-06-09 07:58:05
433
Movie Verse Swahili :
Tunaoiangalia hii video 2026 tujuane 😂
2026-05-10 13:39:35
78
meccafire :
hiii imeendaaa
2023-06-09 09:36:17
65
Mary Castro :
yaniiii 🥰🥰🥰 naendelea kuangalia videos nyengine lakini najikuta narudi kwenye hii video 🥰🥰🥰🥰
2023-06-09 08:11:28
57
allyking551 :
king 👑 na bbie niffer mmeuwa kichz
2023-06-09 09:11:09
75
timeless vogue :
good chemistry🥰
2023-06-09 08:30:16
43
Hallel general supplies :
unajisikiaje ww ambae Kila siku mnamtukana this girl afu anazidbkung'aa every morning....Men I love niffer😂😂😂❤️stay blessed girl
2023-06-09 09:53:23
330
fransiscamushi3 :
waaoooo natamani iwe couple
2023-06-09 15:33:47
19
Mimah rainroy :
naombeni like jamani
2026-06-21 13:54:36
6
Nana nadjma :
Nyiee hadi raha 🥰🥰😂
2023-06-09 10:07:58
16
thaani_mbarouk :
🥰qali
2023-06-09 10:13:09
11
Official zuuh💦 :
nice 🥰🥰
2023-06-09 07:37:08
13
Ifrah :
hii imeenda nimeangalia sijui mara ngap hadi sasa🥰
2023-06-09 09:13:29
22
Humaid Ahmed :
Me nimeona mguu wa kuku tu 😅
2023-06-11 21:01:52
5
Nasra Mohamed :
don't know why but I am Proud of you girl
2023-06-09 12:44:18
5
user7239391226274 :
daaah i like the smile a feel happy too
2023-06-12 21:05:36
6
Kiria herieth :
alivokamitia kiunoo😍🥰😂
2023-06-09 09:33:36
261
dorahcutes💅💕 :
walioludia mala kumi kumi kuangalia kama mim mikon juu 😂🥰🥰
2023-06-10 18:00:14
6
Ms.Eddah🦋 :
You look so good together ♥️
2023-06-09 11:55:36
11
She is -Marry💕 :
Mkidate mtapendezana sana
2026-02-24 11:46:25
10
To see more videos from user @niffer_cosmetics, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.