@dandevantz: Hii ni njia mpya ya kudownload video za tiktok bila watermark katika simu yako, iko faster sana na ni kwa simu zote. Msisahau kuifollow hio account ambayo nimeitag, Asante. #jifunzekwadan #dandevantz #androidhacks #samsung #iphonetricks

Itsdandevan
Itsdandevan
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 13 July 2023 07:58:29 GMT
119391
2170
74
1061

Music

Download

Comments

90s.cassette.playe
90s CASSETTE PLAYER :
kudownload video ya tiktok una long press tu kwa video, maneno mingi ya nini..?
2023-07-24 13:47:21
0
franco.phillipo
Franco Phillipo :
bro nkitaka kui clean sm ta Samsung nielekeze bro
2023-07-20 09:48:49
2
master9297
master :
umenifundisha mengi sana bro👍👍👍
2023-07-13 10:07:07
1
user7779954928120
ezeckia :
thak you
2023-07-29 20:46:25
1
adamkajura1
ADAM KAJURA :
hata telegram tafuta (TT Save) inafanya kazi hiyo
2023-08-01 23:01:11
0
dasskifaa
dasskifaa :
follow me
2023-10-09 22:51:02
0
kellykyiv
KELLY :
safi braza
2023-08-04 14:36:29
0
krispet3
krispet :
kaka umetisha 💯
2023-08-07 11:25:16
0
iamothuu
Othuuphotographer :
Apps gani naweza tumia kudownload vitu vya Insta
2023-07-13 09:22:33
0
mwanaidyhalisi2
mwanaidy halisi🦋💞 :
wekaka asante sana mungu akufarahishe zaidi na akujaze maarifa na afya njema nirahisi mno nimeweza❤️❤️❤️❤️
2024-08-01 08:44:43
0
user923006470
CLIMINOLOGY/ KATIBU MKUU TIK :
vid mate also it can work
2023-08-01 02:37:05
1
mum..nelly
mum ..Nelly :
jmeni nisaidie hiii samsg hain srenshort ni mpya
2023-08-09 20:43:12
0
ummul.qassim
UMMUL QASSIM :
follow back
2023-07-21 17:58:48
0
florah9669
lorah🦋💞 :
ubarikiwe
2023-08-02 07:33:12
0
phyllisdorine
phyllis :
thank you
2023-07-26 07:32:37
0
islamictanzania
ISLAMIC TANZANIA🇹🇿🇹🇿 :
chief naomba kuuliza.., Jim's ya kuplay audio fromsdcard kwenye live TikTok video.., maana wengi hawajanijibu khii..., 🌟🌟🌟
2023-07-31 20:41:58
0
dililian2
💙🧡🦋 :
thanks ☺☺
2023-07-29 05:15:16
0
samiasalim6
Samia :
bro mbona mm nime play inaongea tu ila.aioneshi video
2023-10-27 10:10:29
0
raheem_ajheemtz
Dr. Raheem :
mm natumiaa Xender
2023-07-18 12:32:27
0
ahmadrajababuuyas
ahmadrajababuuyas :
Oooooh ! nilitaka toka naona kuan faida! kumbe hako kaneno ka tiktok kata ondoka,😆
2023-07-17 17:11:03
0
jamil_alyaffy
jameel-al yaffy :
hi namna gani utafungua simu yako kama umejilock na umesahau password kama simu ya Samsung
2023-09-14 07:49:07
0
daniel.aloo
daniel aloo :
follow back
2023-07-18 22:30:15
0
saddy_effect
saddy effect  :
telegram is the best
2023-07-19 01:41:30
0
nadhifamajaliwa27
nadhifamajaliwa27 :
naomba unifahamishe jinsi ya kuangalia video ilofutwa tiktok
2023-07-18 01:32:14
0
claythedon
yeyeee💫 :
kaka nisahidie account yangu ya tik tok video zangu zinaenda silooo sana tofauti sana na mwanzo
2023-07-13 12:57:05
0
To see more videos from user @dandevantz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About