@sabramachano: Wanawake wengi wanaonitafuta na stress wanaamini zinasababishwa na wanawake wengine katika maisha ya ndoa, tafadhali hide my ID, usishare story yangu atajua Kama ni mimi, ilimradi yule ambae ameumizwa anakuja kuomba msaada mana hajui nini afanye baada ya kupigwa tukio baada Ya tukio, lakini anaahidiwa hii ndio mara ya mwisho. Hii video ni kwa ajili yako. Hakuna kisasi bora kwa mwanamke ambaye anachukua mtu wako kuliko kumwacha aendelee naye. Kama unayosema wewe ni Kweli mpe muda tu, na yeye yatamkuta na kwa kiburi alivokufanyia atakufa kihoro lakini atakuja kuelewa kama wewe hukuwa tatizo. Ifike mahala tujielewe na sie wanawake vo, sio tunadanganywa tu vo. Tafadhali elewa kuwa mwanamke mzuri hakumtulizi Mwanamme. kuwa mwanamke Mwenye pesa hakumtulizi Mwanamme. kuwa mwanamke Mwenye mapenzi hakumtulizi Mwanamme. kuwa mwanamke Mwenye adabu hakumtulizi Mwanamme. kuwa mwanamke Mwenye anaejielewa hakumtulizi Mwanamme. kuwa mwanamke Mwenye utundu mwingi kitandani hakumtulizi Mwanamme. Mwanamme anaetulia ni yule anaeamua ndani ya nafsi yake kutulia na haitokani na kitu chochote utasema au utafanya. Achana kabisa na akili ya kusema utamiliki au kumdhibiti mwanamme labda atake yeye mwenyewe. Unachoweza kufanya ni kuchagua mtu ataethamini utu wako. Jipende nafsi yako zaidi, usimng’ang’anie mtu ambae hakutaki na kishakuonesha kila aina vituko. Usijiambie kama karogwa huko ndio mana anakufanyia hivo, hata kama karogwa lakini na nafsi yake amekubali, usitafute sababu Ya kuhalalisha dharau, kejeli, kukosa huruma na mapenzi. Pambana na hali yako, wako wengine ambao watajua thamani yako, kama huyo anasema wewe wa Nini wako wanaulizana watakupata lini? ⁣ .⁣ .⁣ .⁣ .⁣ .⁣ #positivity #affirmations #swahilitiktok #foryou #dailyaffirmations #womeninbusiness #wisdom #innerguidance #positiveaffirmation #positivewomeninbusiness #affirmationoftheday #affirmationsoftheday #womenempowerment #dailyaffirmation #innergrowth #positiveenergy #abundance

sabramachano
sabramachano
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 18 July 2023 06:24:12 GMT
739695
23105
1042
6274

Music

Download

Comments

anastanziaqueen
Annoited 1 :
woow asante mom kwa kuntia moyo I was sooo down
2023-07-18 15:50:41
71
fabuleuse_50
🎀 𝐹𝒶𝒷𝓊𝓁𝑒𝓊𝓈𝑒𝟧☯ 🎀 :
Truth in a bitter pill but we must swallow it and move on!🥰🥰🥰🥰
2023-07-18 15:04:29
41
annammy3
bless ❤️🙏MG :
hakuna group mama😳
2023-07-18 18:30:42
18
ummymohdnaini
ummymohdnaini :
da sabra please i want to talk to u personally..niko zanzibar..i really need to talk to you personally siwez andila hapa its too much to handle please
2023-07-27 08:34:58
2
user7724234596986
user7724234596986 :
Sisi wengine, tusha sahau hizo stress. stand alone. Thanks God
2023-07-25 12:11:42
3
salhnya
Da Hanyfa🥰 :
Caption hv caption mmesoma alooo🥰😂🙌🙌💃💃💃
2023-07-18 11:08:23
18
inviolathaalexander
inviolathaalexander :
hiii imeendaaa
2023-07-18 17:46:30
11
mahasusuleiman
mahasu suleiman :
asante mama kwa kutupa moyo
2023-07-30 09:55:04
6
ashamguno1
ashamguno :
🥰🥰🥰🥰
2023-07-22 12:58:08
1
mishybarblie
MishyBarblie🤤 :
goes around comes around
2023-07-22 19:22:21
2
user1727417661387
user1727417661387 :
🥰🥰🥰
2023-07-24 09:18:36
2
ilanda7
user9898713768811 :
umenena dada
2023-08-18 20:43:02
2
user8857010673903
user8857010673903 :
swabra Mashallah mama waukweli
2023-08-31 06:07:54
2
mybby794
My bby :
Kweli mum thanks
2023-09-13 18:46:02
2
user5005081002069
Hawa :
kabs mama 🥰lovely
2023-07-24 05:18:05
2
raheliraheli5
raheliraheli5 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2023-07-22 07:23:45
1
user4137153219771
user4137153219771 :
thanks alot for your advice mummy
2023-10-09 10:39:45
1
sarrachalesi
user8692743119750 :
🥰🥰🥰🥰🥰
2023-07-22 16:05:17
1
sabrinasaleh791
babra :
🥰🥰🥰🥰🥰
2023-07-22 07:03:36
1
mamakewarembo12
shanizii @@@@y :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2023-07-23 10:12:29
1
hellengastonnzobe
Hellen Gaston Nzobe :
🥺🥺
2023-07-22 12:25:44
1
user7458159472533
maliam :
🥰🥰🥰🥰
2023-07-23 19:58:23
1
To see more videos from user @sabramachano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About