This was before Rose Muhando started addressing the devil directly
2025-04-01 21:15:06
27
Christine Kerry🦋🦋🥰 :
Title of the song please its so sweet 💕💕💕
2023-07-25 13:09:01
21
kisings :
tabata Mennonite choir - Getsemane
2023-08-02 09:16:44
22
Melvin Vincent :
zaman watu walikua wanasoma Neno la MUNGU ndo wanatunga mistari ya kuimba
2025-09-28 11:41:20
9
Nanas almond glow and beauty :
WIMBO UNANIBARIKI..EE MUNGU KIKOMBE HIKI KINIEPUKE,,KIKOMBE CHA UMASKINI,KIKOMBE CHA KUKATALIWA KIKOMBE CHA KUTOKUFANIKIWA,KIKOMBE CHA KUPATA PESA NA KUPOTEA,,KINIEPUKE EEE MUNGU
2025-03-25 21:28:07
49
Planent 003 :
huu wimbo ulinifanya niokoko
2025-05-30 14:34:36
18
🌹MANENO 🌹YA🌹 DHAHABU🌹 :
kipindi hicho mimi mwenyew nilikuwa nasikilizaga na kulia jmn maneno ni mazito kwenye nyimbo 😢😢
2024-12-09 18:36:19
7
Liverpool FC for life :
kipindi hicho shetani haijui TABATA
2023-07-25 18:24:18
14
edwinayaga :
mwenye amepost huu wimbo abarikiwe Sasa, kama mimi nimebarkiwa
2023-07-25 17:54:43
7
Irene nyar Muhuru bay :
Amin
2023-07-26 05:30:38
5
mary paul :
Elikana mwalimu wangu wa kwaya,
2023-07-25 20:49:43
9
Conte Fatou909 :
Dunia Duara..😭😭😭Wakati hii ngoma ikipigwa picha zake Sun Rise Beach Kigamboni mimi pia nafanya Hustling zangu by 2005/2006
2023-07-29 16:16:20
5
lydiachaina349 :
waambiji wenyewe tumeshazeeka
2023-07-28 17:01:03
6
pastor rashid peter :
nimeitafuta hii wimbo kweli
2025-04-03 13:12:39
5
Matthew N Mutinda :
hii ni choir gani tamu hivi hakika old is gold
2023-07-25 17:18:39
6
K-P :
Basi kama unatoa machozi Usikilize mwenyewe.
2023-07-25 07:40:25
5
felispaulpaul :
Tabata choir, GETHSEMANE
2023-07-25 18:50:39
7
ᴍᴡᴀᴋɪ :
jina la wimbo plz
2023-07-25 12:09:15
6
hopedastan516 :
umenikubusha bali sana naupeda sana mungu mukubwa
2023-07-25 11:04:08
5
violetmmasi :
very nice song i feel it
2023-07-25 11:35:33
8
KIPLANG'AT 🇰🇪 :
Whoever knows this song can help me please `` Taji limewekwa tayari'' ...
2023-08-26 05:49:24
5
nuraty j160😍😍 :
nyimbo ambazo zikipigwa zinanifanya niikumbuke familia yangu yote kuanzia babu ambayo haipo tena kwa sasa😭😭😭
2026-03-13 22:59:25
1
macky15maggie :
napenda hii nyimbo mno
2026-04-02 19:55:01
1
To see more videos from user @maganga_officialtz2, please go to the Tikwm
homepage.