@shariff_said_john: #shariff_said_john #tiktoktanzania #tiktokqatar #tiktokuk #tiktokusa #tiktokdubai #tiktokoman #tiktokmalawi🇲🇼 #fyp

Sheikh Shariff Said John
Sheikh Shariff Said John
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 August 2023 08:37:54 GMT
158833
6995
204
2513

Music

Download

Comments

swalhe1_
🌴🥀 :
hata mm suratul dhuhaa imenisaidia Alhmdllh jzk Allah kheir jee ukisoma sura nzima mara hizo usemazo inafaa??
2023-08-06 07:11:23
3
samiramulw
sam,abu :
sijui nifanyeje na ukizingatia nimesilimu. ukubwani
2023-08-05 12:10:08
2
user6149571838210
mussa :
jazaaqallah🙏🏻 allah akulipe
2023-08-08 03:11:41
2
wiser190
Wiser :
A. W. W. W. Sheikh Sharif shukran sana kwa mafunzo kwangu mimi umenipa tija kubwa sana Allah akuzidishie inshaAllah. Je kama unakiwanja bado huja -
2023-08-19 05:43:04
1
shullah2
shullah2 :
usome kw muda gani au siku ngapi au mara moja tu
2023-08-06 15:57:15
0
nadhiruyahya
nadhiruyahya :
asalaam aleikum shekhe mbona kama nilishawahi kukuona live mahali?
2023-08-08 12:37:25
0
stress.free.lady8
stress free lady :
🌹
2025-06-24 06:28:22
0
malingakala72
Rahma Adonesha :
🥰
2025-02-28 11:11:19
0
stress.free.lady8
stress free lady :
💝
2025-06-24 06:28:24
0
zeddmamake
Just Zed😊 :
Asalam aleikum warahma tullah...suratul dhuha imenisaidia kweli shekh...shukran
2023-08-05 17:33:21
19
ashuuabdu
ASHUU ABDU :
Je km n biashara za mfano watengeneza nyumbani kisha wapeleka sehemu kuuza hii inakuwaje plz nijibu
2023-08-05 10:33:10
3
maymayner_design
MAYMAYNER_DESIGN :
Asante🙏
2023-08-05 21:01:26
2
pillyseleman
pillyseleman525 :
usife moyo zidisha imaan mungu atakusimamia nia mhm zaid isidishe nia yakujifadhi
2023-08-05 13:40:41
2
user1295144088085
user1295144088085 :
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatuh, twambie cheikh tufany aj ukiw tume amia katik nyumb za kupanga
2023-08-11 07:51:15
2
wiser190
Wiser :
Jenga na unataka kuanza Ujenz kutokana na vijicho na kiwanja kimekaa mda mrefu je ufanye je kabla ya Ujenz?
2023-08-19 05:44:06
1
eddy8138
Eddy8138 :
mashaallah shukran sheikh
2023-08-05 17:11:10
1
peacesamson4
Peace Samson :
samahan kaka mimi ufungua biashara lakin aifanikiw najikuta naanza upya shida inatokana na nn
2023-08-05 17:09:26
1
aishunadaprettyqueen
@ Mrs Saloo :
🥰 alhamdulillah Allah amenikutanisha na video yako kwa wakati mwafaka kabsa
2023-08-06 06:57:11
1
bin_ottoman_msaje
muyahamisi :
assalaam alaykum warrahmatullahi wabarakatu naomba utufundishe na sisi wafugaji na wakulima tufanye nini ili kuongeza tija kwenye kilimo na ufugaji
2023-08-15 15:27:58
1
halimakenya8
kenya halima :
Inshaallah aameen yarab
2023-08-23 14:27:18
1
davidraya099
David Raya Martin :
jazakallah
2023-08-14 18:39:03
1
preciouslyts
preciouslyts :
Assalam aleikum sheikh; frame wamaanisha mlango ama?
2023-08-05 17:30:30
1
saidanasiru
🦋mrs yassin ❤️🔒🦋 :
shukran sana
2023-08-06 07:27:39
1
user2181610456986
M :
maashaallah ostadhi wangu Allah akuhifadhi uendelee kutunufaisha kupitia kitabu tukufu
2023-08-06 07:40:41
1
mariamahmed9060
mariamahmed9060 :
shekh nilikuwa naomba duwa kwa mjamzito na wepes wa wakat wa kujifungua
2023-08-05 18:21:56
1
mrsshaj7
Mrs shaj :
udhu balad 2 9 tini 3 9
2024-06-29 19:31:17
1
ruthotanga
ruthotanga :
vases in English I would love to ready
2023-08-06 08:44:03
1
ruthotanga
ruthotanga :
whatsa udhi
2023-08-06 08:44:11
1
naimamora453
naima :
Vipi kuhusu kuamia nyumba mpya au chumba kipya,na siku nzuri ya kuamia
2023-08-05 12:58:58
1
sharey100
Hon. Abuu the 3rd :
@user2892040073873
2023-08-07 05:00:13
1
muhammadrashidhamza
muhammadrashid8547 :
mashaa allah mwenyezi mungu azidi kukufanyia wepesi biidhinillah in Shaa Allah kheri zikufike popot ulipo pale amiin na sisi tuzidi kufaidika kwa sot
2023-08-17 18:11:23
1
zalqisswidiq20
user3200161814816 :
Subhana Allah❤️
2023-08-07 14:22:11
1
tizoh051
Bintizoh :
Asalam alyykum ustadh nataka dawa ya kumdai mtu deni
2023-08-06 05:20:25
1
zuwenaabdallah18
zuwenaabdallah18 :
Shekh na kama nishafungua mafanyaje tafadhali ni saidie
2023-08-06 05:01:06
1
muhammadrashidhamza
muhammadrashid8547 :
mwenyezi mungu azidi kukupa ee'elimu yenye manufa'a na Imani thabiti ili tuzidi kufaidika kwa sot biidhinillah in Shaa Allah kheri amiin
2023-08-17 18:12:54
1
user75313346875430
Winnie Amim :
MASHA ALLAH
2023-08-18 06:01:38
1
hally715
hally715 :
kama ni frem.mpya ww ndio imeanza kuifanya biashara
2023-08-05 11:39:03
1
fatmagmail.com918
tuma :
hakika tunafaidika na ww shukran ALLAH akuhifadhi shekhe wetu😍
2023-09-10 02:11:15
1
mummy.son84
mummy son, 💖💖 :
Ameen
2023-08-18 19:08:17
1
mummy.son84
mummy son, 💖💖 :
Inshallah
2023-08-18 19:09:09
1
kibenten
user9885050232500 :
Aslm alkm ustadhi mm naomba Aya ambayo nikiisooma nitadumu kwenye mahusiano
2023-08-06 18:26:47
1
maryamshabaan43
maryamshabaan43 :
shukrani
2023-08-08 03:54:16
0
kaidzakea
Umm khalid :
Asalam Aleikum sheihk. mm hua nakufatilia sana na napenda sana mafunzo yako. lakini nina swali.Je kama unajenga, alafu mjenngo unakwamia katikati.
2023-08-17 11:32:08
0
asu0759
SUMA JR :
15385
2023-08-17 09:41:50
0
binti_k22
Asha Kusubdwa :
ahsante shekhe kwa kutuelimisha tunateseka mnooo umetuzindua zidi kutuelimisha tunakupenda kwa ajil ya Allah
2023-08-17 09:18:38
0
chantel_only
chantel_only :
mashaallah
2023-08-08 05:20:26
0
user3366940862387
user3366940862387 :
amiin
2023-08-19 20:30:55
0
user9769404212012
user9769404212012 :
asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh hujambo na kama ushaanza biasha utafanyaje
2023-08-17 04:29:33
0
user5285951055820
UkhutyFey❤️ :
shukran
2023-08-12 15:59:48
0
shomarishomariere
shomarishomariere :
chumba cha biashara
2023-08-08 10:41:45
0
princesssalmah2
Princess Salmah :
ahsant
2023-08-12 10:19:06
0
user9669848158790s
user9669848158790samira :
Amiin
2023-08-11 20:23:06
0
kipusa02
kipusa02 :
Amiin
2023-08-08 07:43:30
0
user4007957448982
𝑲𝒉𝒆𝒓𝒚𝑮𝒖𝒎𝒃𝒐 :
Allah Akuweke Mwalimu Unatyuza Mengi Sana
2023-08-10 20:50:16
0
kibenten
user9885050232500 :
Insha Allah
2023-08-08 09:37:28
0
To see more videos from user @shariff_said_john, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About