@aboubota: moto mkubwa gari yama futa yateketea yote

BOUTA PAC
BOUTA PAC
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 06 August 2023 11:24:05 GMT
153469
4408
214
391

Music

Download

Comments

carosochieng
carosochieng :
I'm just trying to imagine how hells fire looks like🤔
2023-08-07 16:26:33
38
megaboxii
MegaBox :
imagine moto wa jahannam ambao hatujauona utakuaje, Allah atuepushe na moto huo😔
2023-08-07 04:23:04
83
hitechphotomountguru014
hitechphotomountguru014 :
karibia ndio nione vizuri kaka 😂😂😂
2023-08-07 07:10:53
5
minabae246
↻𓈒𝐴˖֒✧𝑀˚⋆𝐻༘⋆♡︎ :
na ingekuwa Uganda ungeona watu wanakimbilia mafuta😢😢
2023-08-06 21:23:21
2
robert.minja
Robert Minja :
Yamepanda sana bei bora yalipuke
2023-08-06 21:09:06
18
user8152248116336
shashitah :
ivi dereva aliponea just asking
2023-08-07 08:41:16
11
user6597303828723
centy :
is the driver okay
2023-08-07 12:12:59
9
gucci_thee_mc
🦁ᴍᴄ ɢᴜᴄᴄɪ 🎙💎 :
so tragic😥....its the tsunami guy for me though
2023-08-06 23:50:02
8
iamloveness_tz
Lovenesslove :
sa mafuta yamepanda bei alf gar inaanguka tena Jmn😴😴
2023-08-07 03:25:58
8
user6371936299753
user6371936299753 :
alafu tumche mola tanzania mazambi mengi
2023-08-06 22:24:07
7
gran_dowg14
Simba14 :
Bongo kwenye mambo ya Fire tuko nyuma sana, it's been like that since the 80's
2023-08-07 07:44:04
7
elifacemuzi850
elifacemuzi850 :
HUO NI MOTO WA MAFUTA UKO HIVYO JEE WA JEHANAMU ITAKUWAJE BASI TUJIFUNZE KWA HILI TUFANYE TOBA
2023-08-06 20:00:32
6
hildaanthony5
capries❤️ :
moto waduniani tuu uko hivi je huwa wa jehenamu je ukoje🤔
2023-08-07 08:38:51
4
emmanuelngajiro1gmail.co
emmanuelngajiro1gmail.co :
🥺😳 Sasa wa jehanamu ni mala 1000,000,000,000,000,000,000, ya huo Acha dhambi
2023-08-06 18:11:59
4
gusiiseitoinka
lee monarisa gusii🇰🇪 :
poleni samia work for this people wasiwe kama ss
2023-08-07 14:56:08
4
wiredesigner
Wire Designer :
hii ni kafara iliyofeli. maana hajafa mtu
2023-08-07 07:08:18
4
empress18sha9
mercy ayugi :
God see them through 🙏🙏
2023-08-06 23:22:50
4
chimamy187
chimamy :
dereva wa ilo gar aliwah kutoka lkn subhanallah
2023-08-07 04:19:44
3
shadrackotaya
Shadyside :
Hapa ni wapi😂😂
2023-08-07 07:24:32
3
tuni_002
Tuni :
kama volcano ana tsunami kaka 😁
2023-08-06 23:18:57
3
shiva_davidke
shiva_david254🇰🇪🇰🇪 :
Good example of heal fire.💔.. father God please forgive your people 🙏 lord
2023-08-08 21:22:42
3
ruthpal0
Ruth Alonga UR :
which country please
2023-08-07 17:47:41
2
user2090051888673
KISTIKILA :
wapi hapo
2023-08-07 09:34:54
2
naomimbwerwa1
naomi mbwerwa :
Naon Leo tumekimbia atujatak kuchota mafuta ee
2023-08-06 21:20:47
2
juud678
juud juneydi :
wait what happens
2023-08-08 17:21:10
2
neemakafimbi2
user965305414309 :
moto kama mawimbi ya maji duh, mungu atusaidie
2023-08-07 06:52:08
2
louispictures
LOUIS PORTRAITS 👽🎨 :
ivi unajua tsunami maana yake😂😂😂
2023-08-06 22:05:23
2
charlsonphin
phinnahcharlson :
the cameraman alipata courage yah kukaa karibu hivo
2023-08-07 13:07:14
1
naisat38
naisat :
Yan na ilo joto la dar mbn limeongezeka
2023-08-07 20:26:51
1
naisat38
naisat :
dah Yan kam movie 😳
2023-08-07 20:26:16
1
tino_artistry
MPIGA PICHA WA TAIFA :
Io kama tsunami 😅😅😅😅
2023-08-07 23:59:31
1
ladymamu_1sincere
ladymamu_1 :
dah!..huo wa duniani upo hivyo wa jehanam sijui upoje, ..yarrabi tupe mwisho mwema!....pia nusuru viumbr wako allah😭😭
2023-08-07 14:25:37
1
shyrosebaraka
memraf💞 :
tajir kapat presha 🥺🥺
2023-08-07 07:50:14
1
user67155885178
sindonga :
follo back
2023-08-07 08:26:23
1
user1827601843671
florencendinda :
imelipuka juu imepandishwa sana
2023-08-07 08:32:23
1
itstimmy366
iK9._h :
kama huo moto munauogopa kwann watu Hawaogopi moto wa ALLAH watu tubadiliken kama tu huo sasa wa siku ya mwisho 😭 MUNGU atusaameg
2023-08-07 14:22:46
1
user8043252407698
Trust kid😎 C.I.O :
nani kachomoa betr tena
2023-08-07 09:07:04
1
keishadamaris1
keisha damaris❤🦋💦 :
it looks like heal😂
2023-08-08 21:11:10
1
la_makamera
Socond born :
majariwa yuko wapi??
2023-08-07 10:29:57
1
ekiru00
ekiru00 :
ahera
2023-08-07 10:25:53
1
user2861691668109
user2861691668109 :
what about jahanam😞
2023-08-07 10:21:45
1
mr.kapeka4
£Mr £kapeka :
mungu awa nusuru
2023-08-07 06:47:01
1
user76928749570356
susani mshema :
kunapikipiki zimeungua sasa boss atawaelewa kweli
2023-08-06 17:39:59
1
hsvabahajs
user4754223999873 :
tsunami tena kaka😳😳
2023-08-06 20:22:38
1
userblackmar1
Blackmar🤎🦋 :
hiyo nguo ya umeme imepona kwel 🥺🥺 watu wasije pata shot majumbani
2023-08-06 17:00:25
1
user817065672238
user817065672238 :
duuuu
2023-08-06 20:40:26
1
levercutus
Why? 🇹🇿🇹🇿 :
aisee
2023-08-06 21:57:08
1
roblez254
roblez254☑️ :
kwa jirani????
2023-08-06 22:42:48
1
celina469929
celina🌷🌹 :
jaman
2023-08-07 07:28:15
1
jeyh123
lavie :
wap uko jamen
2023-08-06 11:36:44
0
To see more videos from user @aboubota, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About