@kuhanisilamtui: YESU ALIKUWA NDANI YA KRISTO MUNGU WANGU MBONA UMENIACHA??#injiliisiyoghoshiwa #kuhanisilamtui #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #gospel
Nimekuwelewa vizuri sana kuhani.Mengi yamekuwa kama giza kwangu ila sasa nimeanza kuona nuru kwa kumjua zaidi Mungu huyu aitwaye Yesu .hapo mwanzo walivyokuwa wanasema yesu ni mungu nilikuwa naona ni udanganyifu tu ila kwa sasa nimeelewa.Amen🙏
2026-05-13 16:55:01
0
To see more videos from user @kuhanisilamtui, please go to the Tikwm
homepage.