@mrs_dangerous: Replying to @user2549029743527 yani nimesmile tu kuona your comment ❤️ nafanya videos but mimi mvivu kuedit. Pweza- nimechemsha kwanza na Kitunguu maji na kitunguu saum,tangawizi,manjano,chumvi na pilipili manga.alipoiva nikablend kitunguu maji,kitinguu saum,tangawizi,pilipili manga mchauro na mafuta.kisha nikamkaaanga. Mchicha- Nimekaanga kitunguu na tomato nikaweka chumvi na royco.nikaweka mchicha kisha tui jepesi.ilivoshikana nikaweka tui zito. Juice- Passion,watermelon(tikiti maji),mint leaves(mnaanaa),iliki(vanilLa) sukari na maji.nikablend nikatuja.

Mrs.Dangerous
Mrs.Dangerous
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 17 August 2023 14:57:58 GMT
140644
5109
107
400

Music

Download

Comments

kajembee1
Modymzurii🇰🇪🇧🇭 :
napata wapi nguvu za kucheat mie wakati nguvu za kiume hizo hapooo
2023-08-18 09:31:27
3
iamdemure5
Demure :
Mashaallah👌
2023-08-18 09:15:28
1
perfect_.a
lady aisha 🥰🤎 :
sasa tiktok wakifunga situtakosa vituu vizurii kama hivii 🥺🥺
2023-08-17 16:26:12
3
anogogo
ziyadambro :
masha Allah jamani kwetu raha. ukilinganisha na huku Europa hatupati hayo. natamani kupata mke kama huyu. mwenye imani na taqwa 😍🥰
2023-08-18 08:30:36
3
hamis489
hamis489 :
Looking so sweet pweza
2023-08-18 11:57:41
3
heav6031
Heav6031 :
thank you dearest ❤️
2023-08-18 11:58:17
3
salimomar987
salimomar987 Mombasa :
mke akikupikia kama Hizi nguvu za kumuwacha utazitoa wapi
2023-08-19 13:05:29
1
_.last_born
𝕷𝖆𝖘𝖙 𝖇𝖔𝖗𝖓 。‿ 。 :
Top 🔝🙌🏼🔥Masha Allah
2023-08-19 09:04:03
1
user8605705652411
user8605705652411 :
mchele gani huo mmaii ? nimeupenda
2023-08-19 12:28:04
1
user1462774040762
Kadinali :
manshaallah
2023-08-18 13:38:41
1
1311princesstima
🤴 Princess Tima :
wafanyaje mchele usishikane
2023-08-20 15:56:02
1
fatmahussein149
Fatmah hussein :
lovely
2023-08-18 18:56:55
2
ajaesaid
ajae 😘 :
mashaallah
2023-08-18 12:55:45
1
dueligedo
IKO MANENO :
Matoki please 🥰
2023-08-18 22:09:02
1
kudraa4
KUDRAA :
recipe ya juice dear
2023-08-18 07:29:53
2
bibi49422
bibibaiby :
asante
2023-08-18 17:21:12
1
naibuwaziri
Ashfaq :
9 G🥰🥰🥰
2023-08-18 15:54:48
1
restolab_tz
restolab_tz :
Tanga 😂😂😂🙌🏻
2023-08-19 13:59:22
1
mwakalimbo
mwakalimbo :
heheyaaa mpini usipo piga saluti sijui🥰🥰🥰🥰
2024-12-25 17:46:54
0
bintyshee
missy :
si wapika jamani uweh🥰🥰 mashallah
2023-10-31 16:27:46
0
nora72937
Nora :
mashaallha kweli wewe ni dangerous tafadhali naomba nifanyie video ya mishkaki🥰
2023-12-04 07:05:44
0
barawagirl
user5726768043539 :
how long do u boil tha octopus
2023-11-25 19:08:11
0
judithowiji7
luwijy :
Mchele upi huu unaoutumia
2023-11-05 13:25:04
0
rexnose442
lex_nose :
please tunatak kukuon
2024-12-07 10:48:31
0
To see more videos from user @mrs_dangerous, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About