@davidwildness: MWENDO WA MARINGO Twiga wana miguu mirefu sana, kwa kadiri ya 10% zaidi ya miguu ya nyumbu. Mwendo wa twiga ni wa maringo kama warembo wa taji la miss World wanavyo tembea pia ni mnyama anaye kula chakula kwenye high restaurant, lakini akiwa anafukuzwa hukimbia sana, mpaka kufikia mwendokasi wa km. 55 kwa saa. Twiga ni kazi kuwindwa, na ni hatari. #giraffe #honeymoontrip #tanzaniantiktok🇹🇿 #utaliwandani #serengetipark #ugandanstiktok #ngorongorocrater #kaributanzania🇹🇿 #karibuafrica🌍 #merutiktokers #capcut #tiktok #polepole #hakunamatata

Asili_Wilderness_Africa
Asili_Wilderness_Africa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 19 August 2023 20:07:41 GMT
2951
213
3
34

Music

Download

Comments

eduuunaimodu
Raju Mwenyewe :
🥰🥰🥰
2023-08-20 05:23:31
0
africamethody
king of ngereza :
❤❤❤
2023-08-21 18:44:29
0
To see more videos from user @davidwildness, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About