@sabramachano:

sabramachano
sabramachano
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 16 September 2023 06:41:20 GMT
152204
2416
364
216

Music

Download

Comments

munnaibrahim59
SWEET MUNNA Tz🇹🇿ZANZIBAR🏡♥️ :
akae kwa kutulia hakuna cha pekeake kakutana na kiboko yake Tamaa za maliza watu zimemponza😂🔥👌
2023-09-16 08:09:23
34
misszanzibar2
MISSZANZIBAR😍 :
Huu NDO upuuz wa ukewenza wanashindana kubeba mimba 😂😂😂
2023-09-17 00:02:15
3
ayshadj
✨✨✨ :
Yee keshatoa watu zamu yake malipo duniani
2023-09-17 20:46:02
7
naughty._.princess
naughty princess :
sheria wake wanne lkn iko cku mume atachoka atamtafuta mwenyewe
2023-09-17 13:34:11
2
user5509813135626
asya maneno :
kikubwa amkabidhi allah kama kuna kher atakaa kwenye ndoa kama hakuna basi allah hakupi mtihan usio uweza shika inada dd
2023-09-17 13:18:57
2
mishybarblie
💋🌸 :
😂😂kumkomesha mke mwenza kwa kumbebea mimba cjafikiria bd
2023-09-16 14:08:08
8
hudaaliman
hudaaliman :
achane nae tu kama Hali imefikia hivyo mapenzi yame Isha ndoa sio Pesa ndoa ni mapenzi kama hayapo Hayo basi Allah karim atafute maisha megine
2023-09-16 08:08:00
3
rahmaadamu6
rahma :
na aje nimpeleke handeni kwa babu
2023-09-16 15:39:06
1
praynik07
praynik official :
dawa ya moto ni moto ss zamu yke imefika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙄🙄🤣
2023-09-19 10:00:33
1
hoormamy
shamila1987 :
yani mwanamke mjinga sana bado kabeba mimba ingine
2023-09-16 07:07:07
2
preetymami
Preety Mami :
Amuombe Allah ikiwa ndoa Yao Ina kheri atarudi...aeza taka Rudi huko labda Allah kamuepusha n Shari
2023-09-16 12:59:59
7
amyra3011
يسرا :
huyo mume nae afanya dhambi kuoa na kuacha 😭
2023-09-16 09:30:55
4
laleinemirjangi
Laleine :
Shidaaa
2023-09-17 14:52:51
1
shamayzawahir
shamayzawahir :
me nmeolew na mwanamme mwenye mke alhamdulillah cna tafran nao ila mke wa mwanzo anifanyia visa kila cku jaman cjui tuelekee wap
2023-09-19 07:43:59
2
user2671192092060
user2671192092060 :
tutafute hela jmn daah
2023-09-17 19:55:25
1
ummuwaleed_firdaus
maryam kharusy :
subra
2023-09-16 10:14:47
1
nashubeby
Bushra bride stylish boutique :
😂😂😂😂 Nacheka kama mazuri sasa yanini kumtowa kama kaona kashindwa atokee yeye tu
2023-12-11 12:27:50
1
zuugadaph
zuugadaph :
kwani aliambiwa kuna na chapekeyake mjini. akae kwa kutulia tu akome kiranga kwanza sheria 4
2023-09-16 12:13:03
1
chuiwakike29
OfficialChui :
hakuna mume wa mtu.wake 4 mume wao
2023-09-16 13:25:29
6
user6138426578044
mrs captain ❤️ 💕 :
eeeeeh ilinikuta hiii jaman yan yule dada mung aendelee kumuazibu.maana alicho kifanya kwang mung ndo anajua yan pamoja na kuniroga lakin mungu hakuni
2025-06-18 05:30:17
0
niveazxcb
Citizens :
Tusaidie waganga jamani
2025-12-30 00:01:55
0
tasha.ali29
tasha ali :
Kakosea mwanzo tamaa imemponza 🥺
2026-01-13 11:25:30
0
theunkownbody
TheUnkownBody :
hapa sina ushauri ila nataka nimfokee kwa kumwambia tamaa mbaya👌
2025-06-07 03:38:28
0
bahathmwalongo791gmail.c
mom 👩AA :
😭😭😭😭 ni kwer vita ni ngumu
2025-06-12 14:34:14
0
aishamanety2786
Tik Toker :
Atulie kwao na roho mbaya yke
2023-09-16 07:47:28
0
To see more videos from user @sabramachano, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About