@miladu_tv: MAULID BARZANJ | MLANGO WA NNE Ustaadh Omar Muhiya Bingwa huyu wa usomaji wa Maulid ya Barzanj. Wangapi walijua kama mie jinsi alivyoanza, mtazame huyo alievaa koti kulia kwake MC (Sheikh Abbas) akichungulia akidhani mwamba anatuadhinia 😂. Kwanza alishtuka alijua huyu mwamba mbona anaadhini tena. #miladutv #babdeoMiladu #MaulidLive #mulidnabimuhammadsaw #maulidnabimuhammadsaw1445h #barzanji #maulidbarzanji
Babdeo Miladu
Region: TZ
Wednesday 20 September 2023 07:15:34 GMT
Music
Download
Comments
user5063758126685 :
kidevu cheupe kama nusu shilingi
2023-09-21 06:44:14
11
KIBORIBO SHOPS :
Acheni uzushi hu0 ktk Dini ya ALLAH
2023-09-20 08:44:24
2
ALBAYAAN :
Hii dini sio ya mashia nyinyi acheni kuwafuata wao wameshaamua kupotea. Hakuna ibada ya hiviii
2023-09-20 15:56:34
7
katolo18 :
ndio maana maasi yana. zid kwa haya mamb ya maulid. tunasema maulid ni kitomvuncha maasi
2023-09-20 12:52:47
4
{Abuu uthaymiin} {Ommary} :
Ety anampenda saana mtume lakini sunna ya NDEVU hana kidevu cheuupe kama nusu shilingi
2023-09-24 12:22:49
4
Ummy ❤️ :
kitu ambacho hakikufanywa na mtume na maswahaba zake na mataby tabyyna ni uzushi.....mswalien mtume asubuh na jion mtapata thawab
2023-09-23 14:27:01
3
JABIRLAAZIZ MABADA :
Kwa raha hizi ndani yaroho,, Asiependa MAULIDI tumbo limuume hadi afe
2023-09-23 21:28:32
1
Ali Enginner Msafiri :
mnadhani mkighani mnakomoa mtu? huo ukuchu TU umewajaa!
2023-09-20 10:28:11
2
Walalo F Baby :
sijui amesema nini naskia kelele nyingi tu hapo
2023-09-24 11:08:54
1
Profile307 :
S.A.W
2025-01-28 09:02:01
1
Yunus Mbonde :
S. A. W
2023-09-28 05:56:40
2
Muna Zeyd :
🥰🥰🥰S.A.W🥰🥰🥰
2023-09-25 04:06:41
3
muu.tz62 :
Nmesikitika sana baada ya kusoma comment hapo chini💔 waislam tunazid kugawanyika umoja unakufa kwasabab kila mmoja anadhan yey ni bora kuliko mwingine
2025-01-31 05:11:29
1
ramadhano7 :
maashanllah
2024-07-14 14:34:32
1
elbeity :
majahil nyie
2023-09-20 11:45:38
3
omy alqassimy :
mashallah
2023-09-28 17:40:05
1
chawa :
Hamna ki2 hapo
2023-09-20 08:22:40
1
omy alqassimy :
kwani mliambiwa ndevu ndio uislam
2023-09-28 17:38:02
1
mwana :
SWALLA ALLAH AALAYH
2023-09-29 04:51:51
1
jumaa094 :
mashaallah voice
2023-09-24 23:00:40
2
aliy abdallah887 :
jamani nyie viumbe mulioumbwa na tamaa nyingi kila 1 adili na madhehebu yake musifanye ufisadi apa mana kuna wat wengine wanacomment ujinga tu
2023-09-28 18:58:31
1
aishahemedi85 :
mashallah
2023-09-27 07:56:56
1
emiiyramsony :
hawana nia ya kumkomoa mtu lkn maulidi sio bidaaaa
2023-09-26 08:06:49
1
Nurdin18 🌏🇹🇿 :
mashaallah
2023-09-27 17:45:58
1
kutegeza :
acha uzushi
2023-09-20 19:34:55
1
To see more videos from user @miladu_tv, please go to the Tikwm
homepage.