@itikadiyasalafi: Replying to @anuj.kapadia89 yaani bado hamjasema mpka mseme

itikadiyasalafi
itikadiyasalafi
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 September 2023 07:59:38 GMT
21645
673
136
157

Music

Download

Comments

manhajsalafiyyah09
Abuu Arzlan Ally Ibn Suleyman :
🥰
2026-07-10 21:26:05
0
misspower50
Misspower50 :
Yan tutasoma na tutamswalia mpk sk ya mwisho hakuna cha bidaaa wala nn
2023-09-22 08:07:59
9
fatma_alamin
user1710870396957umm badrie :
someni paka kiama kisha ukamjibu Allah maneno hayo hayo
2023-09-22 17:08:29
7
abute254
ASHAQSY :
maulid haikufunzwa na mtume
2023-09-24 20:42:12
5
001mbsa
School :
Maulid ni Sawa kabisa 🥰🥰🥰
2023-09-25 02:10:43
4
myhubby1111
ummu Alya :
naam tutasoma na kumswalia
2023-09-22 08:19:30
2
user807904787348
user807904787348 :
Allah awaongoze kwakweli...
2023-09-26 10:06:34
2
user1220207298825
A.H.MCITU :
acha kubweka chumbani mwenyewe njo kenya tukusuuze kama bachu.
2023-09-25 16:15:24
2
soud_jr29
soud_jr :
yaan tutamswalia mtumi had kiama hatuach ng'ooo
2023-09-25 13:37:27
2
wellfarmed
wellfarmed :
ALLAHUMA SWALLI ALAA SAYYIDINAA MUHAMMAD WA ALAA AAAALI SAYYIDINA MUHAMMAD
2023-09-26 16:47:51
2
shnaafarfoods
Shnaafar foods :
watu wanatetea maulid kuswali swala tano hawaswali.. simamisheni nguzo muhimu ya dini yenu sio kulang'ang'ania kitu ambacho hakina faida kesho Akhera.
2023-09-26 17:29:05
2
alpacino_07
Al pacino :
sheikh usiogope kusema mashia ni makafiri..kwani ni neno kubwa hilo??😂
2023-09-26 21:48:16
2
ahmedalli480
user9504798108888 :
wacha pagaga njoo kenya upambane na ustathi saidi wahabi mwezako ankibiya njoo umsaidiye
2023-09-25 09:18:19
2
abdulsatarii8
Abdulsatari8 :
Tutasoma mawlid mpk mridshe hela mlzokul 😅😅
2023-09-24 18:44:36
2
misspower50
Misspower50 :
Na bidaa ni uzush hakuna kher wala nn kit kilichokuwa hakipo ndio bidaa 😂😂😂
2023-09-22 10:00:06
2
jibrilally4
Abuu Rufaydah :
Kwa mujibu wa dini yetu hakuna mtu ambaye atakuwa anataja Allah akafika mwisho wa dunia so automatically ndugu yetu kajitoa katika sisi
2023-09-23 11:23:48
1
princeroyalty096
•Ståiñléss⚔️©986® :
@3z ukumbusho tv
2025-12-01 23:41:52
1
athmanfetty
Dannurren :
Maulid ni Shirk
2023-09-26 18:53:56
1
.ibraah_og
sheria :
24 imefka hyo
2023-09-23 20:37:17
1
drabdul72
DR-ABDUL :
Ayo maneno ya kejeli nyinyi mnaocomment chungeni Ayo maneno yenu mtakuja kuulizwa na maneno yenu mabaya juu kauli za dini
2023-09-27 04:28:06
1
mrjr254mrpoda
MrJr :
watu wa mawlid nkama vile viroboti, hawa watu wamesomeshwa kutoka nvitoto sasa hawaelewi kabsa kama haiswii.😁😁..viroboti pro max.
2023-09-26 16:43:12
1
kingswalleh1
swalehabdallah469 :
sadaqta sheikh Abdallah dini isimame ilivo
2023-09-26 16:33:04
1
topgarts
TopGArts :
mbona na nyinyi mmeona elimu kuweka Fusuul na maswahaba hawakufanya
2023-09-26 16:11:10
1
constable174
Arjun kan :
maulidi ni bidaa so sisi ujumbe utashawfikishia kuwa maulidi haifai
2023-09-26 14:54:17
1
abu_salman302
Abu salman :
ikhlas ni jambo la muhim sana ,kwa kweli daawatu salafiyya ni haki,kila mmoja amepewa uhuru wa kufikisha ,fikisheni lakini haki itajulikana
2023-09-26 12:36:15
1
hamzayusuf773
hamzayusuf773 :
wata kufirwa usshajulikanaa usifiche suraa
2023-10-02 08:53:05
1
s564976
🦋S🇸🇴 :
Alla awahifadhi mashekh wetu wa sunna
2023-09-25 08:39:53
1
barout07
barout07 :
musitukere bwanaaaa tutafnya maulid mpk mwsho wa uhai wetu tuwe na akili tusiwe na akili Acha shobo kasim mafuta
2023-09-25 17:34:12
1
khaleedo96
Khaleedo :
tutasoma maulud mpk mjinyee😂
2023-10-25 09:10:01
1
user1334629084361
elbattawy :
Khadith sahihi ukianzisha jambo jema utalipwa ujira mfano wake na jambo baya pia utalipwa dhambi mfano wake
2023-09-25 04:41:59
1
uthmanwanyonyi
uthman wanyonyi :
mashallah Allah akujaziya kila laheri
2023-09-24 21:00:35
1
babason.94
Babason :
Sasa umeeleza ukaeleweka ila wanaoambizana ni mazengenyo na kukejeliana ambapo sio sawa yafaa twende na dalili ndo Kila kitu kiwe wazi
2023-09-26 00:22:42
0
beizausiendechina
ILALAPHONEPOINT& ACESSORIES :
jibuu shekheeee 🤣🤣 wap hadith mmwanazuon .hta wenu mwanzuon yyte alietukan maulid n uongo wa barzanj wehu nyie🤣🤣🤣🤣
2023-09-26 15:03:52
0
omarlali
Omar lali :
kuna vitu vingi vya maaswiya vyamakisa zinafanyika hamusemi shida maulidi kuna liwatwi kuna usago kuna zinaaa zafanyika kila cku hamuongei
2023-09-26 08:22:35
0
user83211565493722
kuta za juu :
tafuta kazi ya kufanya. wahabi wahed!!
2025-06-03 16:15:44
0
mohd.juma.omar
Mohd Juma Omar :
malidi sahivi Allah Akbar mabuno matupu km shaba rank au bongoman
2023-09-26 17:33:39
0
zahrau74
💥Zahrau Collection# :
mbona nyinyi mnafanya mashindano yaquran mtume hakuijua kheri hio
2023-09-27 09:17:28
0
zahrau74
💥Zahrau Collection# :
hawa mawahabi hata sijui mdomo niwanini mana wso ia niwazushi wana uzushi kibao wakwanza mashindano ya quran haya nawatwambie kama mtume alifanya
2023-09-27 09:21:11
0
simba.wa.membary
Simba wa Membary...☝️☝️ :
maulid ni bidaa na itabaki kuwa bidaa tu na mbele ya haqqi pia kaseme hivyo hivyo kama si bidaa
2023-09-27 17:24:31
0
muhsinjada
Binsaid :
🥰🥰🥰🥰
2023-09-27 23:09:01
0
hamudmo
mohamud3053 :
huyu jamaa anaeneza chuki tu baina ya waislamu
2023-09-29 06:54:34
0
amardiab001
amardiab001 :
@Naqshbandi Zawiya Makindu @tee doh @quraish @kuta za juu
2025-06-03 16:15:03
0
cafe2320
cafe :
Allah akulipe
2023-09-29 12:31:49
0
32jamalboy1
Jamal Boy23 :
wakati niko mdogo tulifundishwa sn.. ila sasa nimeitambua haki rasmi mimi na maulid ni ardhi na mbingu
2023-09-30 19:10:44
0
abduswamad71
CAPT.DUSWA :
Kwa Hivo mtume hajui kwa amezalwa
2023-10-24 16:44:19
0
athmanlaly
ابوصابر :
wewe ndio huna akili yonda mawlid yatasomwa utake usitake
2023-11-02 11:14:38
0
khaleedo96
Khaleedo :
Tutasoma maulid mpk kiama shekheeeee
2023-11-03 06:24:27
0
dykupif0gedd
dykupif0gedd :
wacha upuuzi wewe
2023-11-13 08:25:52
0
user68199186726208
user68199186726208 :
wape sheikh wafundishe dini
2023-09-25 06:43:43
0
To see more videos from user @itikadiyasalafi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About